Sababu ni Nini?Enzo Fernández alimuomba Xabi Alonso asicheze leo dhidi ta Luton
@CLMerlo
Sababu ni Nini?Enzo Fernández alimuomba Xabi Alonso asicheze leo dhidi ta Luton
@CLMerlo
Xabi amesema baada ya mechi kuwa YEye na uongozi ndio walioamua Enzo Asicheze. Sababu ni asipatwe na majeruhi akatuvurugia dilim la milion 140. Lakini pia Enzo akili yake haiko tena Chelsea amekuwa kama Julian Alvarez wa Atletico Madrid.Sababu ni Nini?
kwann man city wanachelewesha mpunga wetu na wana hela nyingi sana hawa wantaka tufanye bishara deadline tukose mbadala?Xabi amesema baada ya mechi kuwa YEye na uongozi ndio walioamua Enzo Asicheze. Sababu ni asipatwe na majeruhi akatuvurugia dilim la milion 140. Lakini pia Enzo akili yake haiko tena Chelsea amekuwa kama Julian Alvarez wa Atletico Madrid.
Nimeona Chelsea wameanza mazungumzo na Monaco deal la kumchukua Lamine Camara kama replacement wa Enzo Fernandezkwann man city wanachelewesha mpunga wetu na wana hela nyingi sana hawa wantaka tufanye bishara deadline tukose mbadala?
Nimeona Chelsea wameanza mazungumzo na Monaco deal la kumchukua Lamine Camara kama replacement wa Enzo Fernandez
Vitabu vinazidi kuwekwa sawa hiyo dogo ni mzuri ila alikuja kwenye wakati mbaya ndio maana hakupata muda
passing ability yake ikoje?
🤣🤣🤣
Ila Nini tunawaonea sana Liverpool kwenye Usajili wao ndio walikuwa kwenye hatua nzuri ya kumsajili mara paa Chelsea kaingilia deal na Mchezaji kasema yes kwa Chelsea na ukiangalia Liverpool ndio alikuwa anauhitaji mkubwa Zaidi hawana kabisa kiungo mkabajiMbali na Lamine Camara, ambaye bado ni kipaumbele cha juu, Chelsea ipo hatua nzuri katika mazungumzo na jina kubwa la kiungo wa kati kuchukua nafasi ya Enzo Fernández.
@sebnonda
Wakati huo huo Chelsea inaweza kumsajili nyota wa AS Monaco, Lamine Camara, mapema KESHO kutegemea kama hakutakuwa na mabadiliko ya dakika za mwisho.
Msenegal huyo anatarajiwa kusafiri kutoka Nice kuelekea London kufikia Jumapili ili kukamilisha dili hilo.
The Blues wamekuwa wakimfuatilia Camara, mwenye umri wa miaka 22, kama mbadala wa Enzo Fernández anayeelekea Manchester City.
@LianosKostas
View attachment 3659665
Robert Sanchez ameambiwa atafute klabu ya kumsajili kabla dirisha halijafungwa vinginevyo akibaki atakuwa goal kipa wa tatu nyuma ya Emiliano Martinez na Mike Penders.
Robert Sanchez ameambiwa atafute klabu ya kumsajili kabla dirisha halijafungwa vinginevyo akibaki atakuwa goal kipa wa tatu nyuma ya Emiliano Martinez na Mike Penders.
View attachment 3659886View attachment 3659909
Dibu hakuwa na amani msimu uliopita. Harakati za kuihama Asrton Villa zilzianza tangu msimu huo ambako alifanya error nyingi. Naamini akitulia atacheza kama huko nyuma. Good news ni kwamba hata pamoja na hizo erors kamzidi Robert Sanchez maneneo takriban yote ya ugolkipa. Hata hivyo kusudi la kumsajili ni la muda mfupi ndio maana kapewa mkataba wa miaka miwili tu.