DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
View attachment 1256339[/QUOTE]Sasa hivyo vi% si muliongeza baada ya mlungula kutembea mkawapunguza kwa red za mazabe na matuta ya kuungaunga lasivyo mlikuwa mnakufa 7 hapo daraja la mabua.....Naona umeleta statistics za first half pekee. Ngoja mimi nikuletee za match nzima.Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308
Wewe mwenywe unajua ila unafanya kusudi