Hii ni UEFA sio EPL, Chelsea anaongoza hata kama timu tatu zimefungana kwa pts 7
Acha ubishi Mimi kwenye soka sikoseagi kwa asili <70% hata Siku moja.
AJAX ANAONGOZA KUNDI LENU
Hapo tukiangalia H2H
• Valencia kamfunga Chelsea → Chelsea kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Valencia
• Chelsea kamfunga Ajax → Ajax hawezi kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea
• Ajax kamfunga Valencia → Ajax kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea
Sasa hapo ukiangalia sheria ya H2H
√ Ajax anaweza kuwa juu ya Valencia
√ Valencia anaweza kuwa juu ya Chelsea
√ Chelsea anaweza kuwa juu ya Ajax
Lakini:
• Chelsea hawezi kuwa juu ya Ajax, kwasababu ili awe juu ya ajax ni lazima awe juu ya Valencia jambo ambalo haiwezekani kuwa juu ya Valencia due to H2H
• Valencia hawezi kuwa juu ya Chelsea kwasababu ili awe juu ya Chelsea ni lazima awe juu ya Ajax jambo ambalo haliwezekani due tu H2H
• Ajax Hawezi kuwa Juu ya Valencia kwasababu ili awe juu ya Valencia ni lazima awe juu ya Chelsea jambo ambalo haliwezekani due to H2H
Kutokana na kufungana kisheria kwenye H2H Ajax ndiyo kapata Fursa ya kuongoza ligi kwa magoli ya Kufunga kwani alimpiga Valencia 3 Jambo ambalo katika nyinyi Watatu kufungana ni yeye pekee ndiye aliyepata ushindi wa goli 3