hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Bila shaka unataka akupe mkeka wakoHuyu refa angekuwa anakaa mtaani kwangu, ningemsubili na mawe..
Bila shaka unataka akupe mkeka wakoHuyu refa angekuwa anakaa mtaani kwangu, ningemsubili na mawe..
Kuhusiana na Strikers, nilimwambia pia Jamaa kuwa bado hatujawa na strikers wa uhakika kama Diego Costa au Didie Drogba pa1 na kupata magoli mengi sababu pia hatuna master class passes za final assists kama Sesc Fabregas.
Jamaa limenipinga weeee....sasa nilichokinena kimeonekana leo hii ...![]()
Ushabiki wa akili hizi ndiyo naukataaga kabisa na sijui kwanini kuna mawatu aina hii duniani.
Leo asubuhi nilimwambia Jamaa yangu mmoja kuwa leo Chelsea tuna mtihani mgumu sana kuifunga Ajax 7bu history yao ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2018/19 si mbaya kushinda ugenini na hata Tottenham alifanya kazi ya ziada kuitoa ugenini baada ya kuanza kufungwa uwanja wa wimble, Jamaa "oooh... tuna kikosi kizuri sana na bado majeruhi kikosi cha kwanza hawajarudi, wakirudi tutakuwa ni timu tishio sana Ulaya"
Bila shaka atakuwa kashanielewa mpaka sasa hivi.
Mi ni Mshabiki wa Chelsea lakini huwa sina mahaba hadi kuwa kipofu kushindwa kudadavua ukweli.
Batshuay ni forward nzuri sana kuliko Tammy ,pia hapewi sana nafasi kama Abraham.USAJILI
1. Beki wa kulia (Azipuleta apumzike)
2. Beki wa Kushoto (Alonso apangwe baadhi ya match)
3. Kiungo Mkabaji (kusaidiana na kante)
4. Mbadala ya willan/pedro wakiondoka
5. Mshambuliaji mkali wa kusaidiana na Tammy.
Lazima hizo nafasi zifanyiwe usajili kuongeza upana wa kikosi na ushindani wa wachezaji.
Mimi naamini tukiwafunga Valencia na tunasonga mbele kwa sababu Ajax atashinda mechi zote mbili za Valencia na Lile
Hata kama Valencia akitoa sare na Ajax na sisi tukatoa sare na ajax na lile tunapeta tu kwa point moja Zaidi. Wenye nafasi ngumu ya kupata ni Valencia kwa sababu Lile wako hoi
2 Red Cards
Game yenu vs Valencia ni Must Wing game
Valencia akikufunga atatimiza points 10 ambapo wewe hata umfunge Lille goli 50 na wewe utatimiza 10 hapo Valencia atasonga mbele kwa Head to Head na wewe utaenda Uropa
Kundi lipi unaloongoza? Hebu kaangalie msimamo
√ 2 Penalties
√ 2 Red Cards
Kwani mpira ni vita?Penalti 2, red card 2 aiseeeee kuna timu zinatembelea nyota balaaaa
Hakuna mtu wakwenda uropa hapa,huko jalalani mtabaki wewe Asernal na ndugu yako man U.Game yenu vs Valencia ni Must Wing game
Valencia akikufunga atatimiza points 10 ambapo wewe hata umfunge Lille goli 50 na wewe utatimiza 10 hapo Valencia atasonga mbele kwa Head to Head na wewe utaenda Uropa
Unajua king Ngwaba sometimes unakuwa unakoment vitu utadhani mtoto wa kike,kwahiyo ulitegemea watu wacheze fouls waachwe tu bila kupewa adhabu ili ufurahishwe wewe.2 Red Cards
Hapo vipHahah ila kama UEFA wanaangalia H2H basi chelsea alipaswa kuongoza kundi. Sema siyo case chance ya kupita bado ipo. Nina imani chelsea itafanya vzr ugenini kama kawaida yake.
Wewe sio shabiki wa Chelsea na wala mpira hujui. Batshuayi anajulikana na wanaojua mpira, mpaka Batshuayi sio kaliba ya Chelsea, kumtegemea Batsuayi akupe magoli 9 kwenye mechi 11 ni ndoto za alinacha au hadithi za abunuasi.Batshuay ni forward nzuri sana kuliko Tammy ,pia hapewi sana nafasi kama Abraham.
Mo sarah alipokuwa Chelsea alikuwa akipigwa benchi. Kila kocha anamtu wake.
I'm sure mpaka msimu uishe ubora wa batshuay utakuwa ushaonekana.
Umeona like yangu huko Bosi?CHELSEA 4-4 AJAX, Champions League: Post-match reaction, ratings
By Mlanzi
Ngoja nianze na Reece James raia wa England ambae anaupiga kama professional player na nafasi yake uwanjani ni full back. Mwezi December tarehe 8, mwaka 1999 ndio alizaliwa pale London Borough of Redbridge, United Kingdom, na sasa ametimiza umri wa miaka 19. Bao la Reece James ndo bao lililoturejesha kileleni katika ile comeback ya kihistoria dhidi ya Ajax.
Kabla sijasahau, first half Ajax walikuwa 3-1 huku wakiwa na shuti moja tu on target, meaning sisi tulikuwa tumejifunga mabao mawili yani 2 own goals.
Zile red cards mbili kwa Ajax zote zilikuwa sahihi kabisa, Tadic alimchezea leg breaker Tammy Abraham na Veltman alikuwa ameushika mpira ndani ya box kosa linalozaa yellow card na penalty juu. Tunahaki ya kujipongeza kwa hii comeback japo tulikosa umakini katika first half. Marcos Alonso ameniangusha kile kiwango hakikuwa cha UEFA Champions League alionekana kuwa chini sana.
Second half ilikuwa powa sana na kama kawaida yetu tulikutana tena na mkono VAR baada ya bao safi kutoka kwa Cesar Azpilicueta kukataliwa kwa kile kilichodhaniwa kuwa handball kutoka kwa TammyAbraham. Hii ilikuwa moja kati ya zile crazy game.
Ndani ya dakika 90+ mambo mengi sana yalijitokeza. Kwanza own goal kutoka kwa Tammy Abraham ndani ya dakika mbili za mwanzo. Pili, Christian Mate Pulisic kushinda penalty iliyotiwa kambani na Jorginho ndani ya dakika tano za mchezo. Tatu, Tammy Abraham kutupia kutokana na through ball ya Mateo Kovačić na bao kukataliwa kutokana na kuwa offside.
Nne, Ziyech wa Ajax kufunga bao tamu kwa njia ya freekick kutoka upande wa kulia mwa uwanja na Kepa Arrizabalaga kujifunga wakati akiokoa.
Tano, Marcos Alonso kupumzishwa half na Reece James na kumfanya Cesar Azpilicueta kuhamia katika left back.
Sita, Kurt Zouma kufanya Maradona-esque style kwa kukimbia na mpira umbali upatao 70-yard na kukosa kosa kufunga.
Next up tutawakaribisha Crystal Palace pale Stamford Bridge katika Premier League siku ya Juma Mosi
KTBFFH
Hii ni UEFA sio EPL, Chelsea anaongoza hata kama timu tatu zimefungana kwa pts 7Kundi lipi unaloongoza? Hebu kaangalie msimamo
Huyo jamaa ana uchambuzi mzuri me namkubali Sana.CHELSEA 4-4 AJAX, Champions League: Post-match reaction, ratings