Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tushakwambia hujui mpira au umeanza kuangalia mpira msimu huu...

Kamwe usimuamin batshuayi,huyu jamaa ukimtegema utamchukia sana tena sana... ana matatizo mengi sana, kwanza contorl ya mpira ni ndogo, kujiposition bado ni week, vile vile ni mchoyo sana..

Msimu huu Abraham kacheza mechi nyingi sana kuliko batshuay.
Batshuay Muda aliocheza ni mchache pia game nyingi kaingia kuanzia dak ya 80.
Kutegemea awe na goli kuliko Abraham sio sawa.
Mo sarah wakati yupo Chelsea alikuwa anakaa benchi lakini Leo hii unamuona.
Ubora wa mchezaji mwingine haumfanyi mwingine kuwa mbovu.
I'm sure batshuay ni forward nzuri sana, na game ya juzi ilibidi afanye sub ya batshuay mapema ,Abraham game ilikataa.
The blues forever
 
N

nakuunga mkono kabisa sema hao majamaa wanakariri maisha huyu batshuayi wanaomsema Dortmund alifunga magoal mengi Sana na alifanya vizuri ukiangalia ile game ya Ajax baada ya kuingia batshuayi akapiga on target kwenye unpossible angle bila uwezo wa kipa ingekuwa goal huyo Abraham wanaompaisha mbona dhidi ya game mkubwa mbona anashindwa kufunga? Nachompendea batshuayi ana kashikashi na mtu anae penda kujaribu kufunga na anajua kujiposition ndo maana anapata nafasi nyingi za kufunga Lampard amtendei haki kutokumpa nafasi nyingi za kuanza mbona upande wa winga ukizingua anakuwa mwepesi kumbadilisha ndo maana odoi sasa hiv anakalishwa benchi na pulisic inakuaje kwa Abraham inakuwa ngumu kumbadilisha baadhi ya game hata Kama akichemsha.
 
Alifunga magoli mangapi dortmond ??? Na kwa michezo mingapi ??

Kwa hyo kwako batshuayi na abraham, ipi ni foward best kwako ???

Super frank
Kocha bora wa mwezi wa 10
IMG_20191108_151252.jpeg
 
Kumbe Chelsea akimfunga Valencia hata goli moja tu watakuwa wamepita kwenye makundi kwa sababu hata Chelsea akifungwa mechi ya mwisho na Valencia akashinda dhidi ya Ajax tutarudi kwenye point 10 kila mmoja na Chelsea atakuwa na advantage dhidi ya Ajax na Valencia kwa H2H results
Mkuu game vs Valencia ni must win game ..hiyo hakuna mjadala aise...hatuna uhakika kama Valencia atampiga Ajax ..labda akaze apate ata draw...

Bado tutaendelea kumlaumu Barkley kwa kukosa penati dhid ya Valencia...
 
Player of the Month:

• September 2003
• April 2005
• October 2005
• October 2008

Manager of the Month:

• October 2019
IMG-20191108-WA0006.jpeg
 
Msimu huu Abraham kacheza mechi nyingi sana kuliko batshuay.
Batshuay Muda aliocheza ni mchache pia game nyingi kaingia kuanzia dak ya 80.
Kutegemea awe na goli kuliko Abraham sio sawa.
Mo sarah wakati yupo Chelsea alikuwa anakaa benchi lakini Leo hii unamuona.
Ubora wa mchezaji mwingine haumfanyi mwingine kuwa mbovu.
I'm sure batshuay ni forward nzuri sana, na game ya juzi ilibidi afanye sub ya batshuay mapema ,Abraham game ilikataa.
The blues forever
Anafunga lakini sio kwenye kiwango cha kutuletea makombe. Tukitaka striker wa kaliba ya akina Drogba na Diego costa enzi yake tumuondoe Batshuayi kwenye list vinginevyo tutajidanganya kama hao Ndugu zetu ambao wanamuona Rashford akipiga penalty na magoli mazuri wanadai wana striker. Striker haheshimiwi kwa magoli mazuri anayofunga bali ni kwa idadi ya magoli hata kama yote ni mabaya
 
Mkuu game vs Valencia ni must win game ..hiyo hakuna mjadala aise...hatuna uhakika kama Valencia atampiga Ajax ..labda akaze apate ata draw...

Bado tutaendelea kumlaumu Barkley kwa kukosa penati dhid ya Valencia...
Usilielie mkuu,kutegemea penat kwa mwanaume ni umama pia....

Wewe ni wa futuhi tu
 
N

nakuunga mkono kabisa sema hao majamaa wanakariri maisha huyu batshuayi wanaomsema Dortmund alifunga magoal mengi Sana na alifanya vizuri ukiangalia ile game ya Ajax baada ya kuingia batshuayi akapiga on target kwenye unpossible angle bila uwezo wa kipa ingekuwa goal huyo Abraham wanaompaisha mbona dhidi ya game mkubwa mbona anashindwa kufunga? Nachompendea batshuayi ana kashikashi na mtu anae penda kujaribu kufunga na anajua kujiposition ndo maana anapata nafasi nyingi za kufunga Lampard amtendei haki kutokumpa nafasi nyingi za kuanza mbona upande wa winga ukizingua anakuwa mwepesi kumbadilisha ndo maana odoi sasa hiv anakalishwa benchi na pulisic inakuaje kwa Abraham inakuwa ngumu kumbadilisha baadhi ya game hata Kama akichemsha.

Marseile mechi 36 goli 17 msimu wa 2015/16
Chelsea wakamchukua wakidhani ataendeleza wembe huo
2016/17 Chelsea mechi 20 goli 5 na assists 1
2017/18 Chelsea mechi 12 goli 2 na assists 1 nusu msimu
January iliyofuata ikabidi akatolewa mkopo akajifunze kwenye timu ndogo
2017/18 Dotmund mechi 10 goli 7 na assists 1 nusu msimu
2018/19 Valencia mechi 15 goli 1 bila ya assists hata moja nusu msimu
Valencia wakamkataa ikabidi Chelsea wampeleke Crystal Palace january
Crystal Palace mechi 11 goli 5 bila ya assists hata moja nusu msimu
Karudi Chelsea
2019/20 mechi 6 goli 1 na asists moja tena hapa kajitahidi kweli kwa sababu anatafuta namba katikati ya Tammy na Giroud, nakuapia Batsuayi angekuwa ni striker asiye na ushindani anaweza pita msimu asifikishe hata goli 10

Kwa herufi kubwa Chelsea haimhitaji Batshuayi, ni striker mzuri lakini anafaa timu ambazo hazina pressure na makombe kama akina Arsenal ya Aroon
 
Mkuu game vs Valencia ni must win game ..hiyo hakuna mjadala aise...hatuna uhakika kama Valencia atampiga Ajax ..labda akaze apate ata draw...

Bado tutaendelea kumlaumu Barkley kwa kukosa penati dhid ya Valencia...
Tukimfunga Valencia hata akishinda mechi yake na Ajax hataweza kuwa juu ya Chelsea kwa sababu ya H2H results
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom