7nov2019@ChelseaMarseile mechi 36 goli 17 msimu wa 2015/16
Chelsea wakamchukua wakidhani ataendeleza wembe huo
2016/17 Chelsea mechi 20 goli 5 na assists 1
2017/18 Chelsea mechi 12 goli 2 na assists 1 nusu msimu
January iliyofuata ikabidi akatolewa mkopo akajifunze kwenye timu ndogo
2017/18 Dotmund mechi 10 goli 7 na assists 1 nusu msimu
2018/19 Valencia mechi 15 goli 1 bila ya assists hata moja nusu msimu
Valencia wakamkataa ikabidi Chelsea wampeleke Crystal Palace january
Crystal Palace mechi 11 goli 5 bila ya assists hata moja nusu msimu
Karudi Chelsea
2019/20 mechi 6 goli 1 na asists moja tena hapa kajitahidi kweli kwa sababu anatafuta namba katikati ya Tammy na Giroud, nakuapia Batsuayi angekuwa ni striker asiye na ushindani anaweza pita msimu asifikishe hata goli 10
Kwa herufi kubwa Chelsea haimhitaji Batshuayi, ni striker mzuri lakini anafaa timu ambazo hazina pressure na makombe kama akina Arsenal ya Aroon
unayejua mpira abraham dak 1177 kwa batshuay dak 237Tushakwambia hujui mpira au umeanza kuangalia mpira msimu huu...
Kamwe usimuamin batshuayi,huyu jamaa ukimtegema utamchukia sana tena sana... ana matatizo mengi sana, kwanza contorl ya mpira ni ndogo, kujiposition bado ni week, vile vile ni mchoyo sana..
Nategemea huu ni utani siyo kweliTutume ofa ya kumnunua Lewandowski, odoi kama chambo.
Marseile mechi 36 goli 17 msimu wa 2015/16
Chelsea wakamchukua wakidhani ataendeleza wembe huo
2016/17 Chelsea mechi 20 goli 5 na assists 1
2017/18 Chelsea mechi 12 goli 2 na assists 1 nusu msimu
January iliyofuata ikabidi akatolewa mkopo akajifunze kwenye timu ndogo
2017/18 Dotmund mechi 10 goli 7 na assists 1 nusu msimu
2018/19 Valencia mechi 15 goli 1 bila ya assists hata moja nusu msimu
Valencia wakamkataa ikabidi Chelsea wampeleke Crystal Palace january
Crystal Palace mechi 11 goli 5 bila ya assists hata moja nusu msimu
Karudi Chelsea
2019/20 mechi 6 goli 1 na asists moja tena hapa kajitahidi kweli kwa sababu anatafuta namba katikati ya Tammy na Giroud, nakuapia Batsuayi angekuwa ni striker asiye na ushindani anaweza pita msimu asifikishe hata goli 10
Kwa herufi kubwa Chelsea haimhitaji Batshuayi, ni striker mzuri lakini anafaa timu ambazo hazina pressure na makombe kama akina Arsenal ya Aroon
Usilielie mkuu,kutegemea penat kwa mwanaume ni umama pia....
Wewe ni wa futuhi tu
Katika Arsenal moja kuna hivi viChelsea kumiArsenal anapata wapi ujasiri wa kucomment kwenye thread ya the blues. Ngoja ifike december tuwashone mdomo labda watauheshimu huu uzi...
unayejua mpira abraham dak 1177 kwa batshuay dak 237 View attachment 1257977View attachment 1257979
Katika Arsenal moja kuna hivi viChelsea kumi
Hata asipotupa, gambling ya Tammy ina matumaini kuliko ya Batshuayi. Tammy ana slices za muda wa kukua, huyo Batshuayi hizo slices zimeisha, anachotembelea sasa hivi ni uzoefu tuUmechambua vizuri sana mkuu. So Abraham anaweza kutupa makombe tunayohitaji?
Eti chelsea 10. Unaota ww.Katika Arsenal moja kuna hivi viChelsea kumi
Ngoja december ifike tuwanyooshe ili wakiuona huu uzi waukimbie kama ukoma.Arsenal hiii au ile ya mwaka 2003 ??
Arsenal hii ambayo mnawaza ipo siku pepe atakuwa kama ronaldo ???
Arsenal hii ambayo mnamtegemea martenell kuwaletea mafanikio ??
Arsenal hii ambayo mnataka kusema gundouzi ni bora kuliko kante ??
Arsenal hii ambayo mnataka kuamini xhaka au torrera anaweza kupiga pasi nyingi kuliko joginho ??,
Arsenal hii mabayo mchezaji ambae amekuwa rejected chelsea kaja kwenu kawa tourmaster na kuitangaza club na kumpa namba ya kudumu
Kitu pekee arsenal inaizid chelsea kwa sasa ni historia ya karne ya 20.. ambayo kipindi hko, germany ilikuwa kubwa USA
Hii iko waziTutakaa kwa muda, ARSENAL litafungwa na lesta
Kuna mtu hapa anaitwa King Ngwaba alibishana na mimi juu ya ubora wa Norwich. Niliwaambia hakuna timu yenye defense zembe EPL kuliko Norwich sasa wao ndio wameshika mkia kwa kuchapwa 2-0 na timu ambayo haikuwahi kushinda tangu ligi ianze
Sijui waliwafungaje Man City maana tangu wawafunge Man City hawa jamaa wanabugizwa tu
Usiwe mbinafsi kama jogoo, anaamini kwamba jua huchomoza ili yeye awike.Ebu kwanza tukuulize, nje ya msimu huu, ni lini ulimuona batshuayi akicheza ??? Inaweza kuwa hujawah kumuona zamani..
Nyinyi ndio mashabiki wa chelsea mnaoamini kepa ni kipa bora pale wingereza ila kakosa mabeki tu..
Mnapenda chelsea lakin hamjui mpira kabisa.. leo hii ukimuweka batshuayi kwenye mauzo, hafiki hata paund mil 35...