Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Hivi dully jr unajijua kuwa huko europa na siku yenu ni futuhi
Sasa nashangaa unapokuwa unajibizana na watu ambao sio sahizi yako unajichosha bure coz hata timu lako lenyewe arsenal limekushinda unaamua kuwaponda chelsea
Ningekuona wa maana kama timu yako ingekuwa ipo uefa ila sasa upo europa na bado unapiga kelele zako nyingi kumwombea chelsea apigwe goli 5
All in all hongera kwa mechi yenu kupangwa siku ya leo