Samahani Ngwaba
Nimefuatialia nilimiss creteria moja
Pamoja na maelezo mengi lakini mwanafunzi hawezi kuelewa kwa jinsi ulivyoelezea, UEFA wanaangalia H2H ya GD nimeelezea hapa chini
Kumbe timu sikifungana wanaangalia H2H ya timu zote zilizofungana
Kwa timu zote tatu Yaani Ajax, Chelsea na Valencia
Ajax kamfunga Valencia 3-0 kwa hiyo ana GD +3
Chelsea kamfunga ajax 1-0 kwa hiyo ana HD +1
na Valencia kamfunga Chelsea 1-0 kwa hiyo ana GD +1
Ukiweka GD total kwa kila timu
Ajax ana GD ya +2
Chelsea ana GD ya 0
Valencia ana GD ya -2
kwa hiyo Ajax anaongoza Chelsea namba 2 na Valencia namba tatu
Hata hivyo haijabadilisha kitu, muhimu ni kuwafunga Valencia basi