Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sifa 10 za mashabiki uchwara/feki humu ndani
  1. Wanatukana ovyo
  2. Wanashangilia timu ikicheza vibaya au kufungwa
  3. Wanawashambulia wachezaji bila sababu
  4. Wanashangilia timu pinzani ikishinda
  5. Wanajitokeza pale tu timu inafanya vizuri
  6. Wanaungana na mashabiki wa timu pinzani kuwashambulia mashabiki halali wa Chelsea
  7. Hawajui historia ya timu wala wachezaji wake wala manajimenti yake
  8. Ni watu wa kukimbilia kulaumu laumu ovyo
  9. Maandishi yao yanakera mno mpaka unatamani wangekuwa karibu na wewe unaachia ngumi tu
  10. Wengi wao wanaonekana ni wa umri mdogo wa chini ya miaka 20
 
Acha ubishi Mimi kwenye soka sikoseagi kwa asili <70% hata Siku moja.

AJAX ANAONGOZA KUNDI LENU

Hapo tukiangalia H2H

• Valencia kamfunga Chelsea → Chelsea kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Valencia

• Chelsea kamfunga Ajax → Ajax hawezi kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea

• Ajax kamfunga Valencia → Ajax kwenye msimamo hawezi kuwa juu ya Chelsea

Sasa hapo ukiangalia sheria ya H2H
√ Ajax anaweza kuwa juu ya Valencia
√ Valencia anaweza kuwa juu ya Chelsea
√ Chelsea anaweza kuwa juu ya Ajax

Lakini:
• Chelsea hawezi kuwa juu ya Ajax, kwasababu ili awe juu ya ajax ni lazima awe juu ya Valencia jambo ambalo haiwezekani kuwa juu ya Valencia due to H2H

• Valencia hawezi kuwa juu ya Chelsea kwasababu ili awe juu ya Chelsea ni lazima awe juu ya Ajax jambo ambalo haliwezekani due tu H2H

• Ajax Hawezi kuwa Juu ya Valencia kwasababu ili awe juu ya Valencia ni lazima awe juu ya Chelsea jambo ambalo haliwezekani due to H2H

Kutokana na kufungana kisheria kwenye H2H Ajax ndiyo kapata Fursa ya kuongoza ligi kwa magoli ya Kufunga kwani alimpiga Valencia 3 Jambo ambalo katika nyinyi Watatu kufungana ni yeye pekee ndiye aliyepata ushindi wa goli 3
Samahani Ngwaba
Nimefuatialia nilimiss creteria moja
Pamoja na maelezo mengi lakini mwanafunzi hawezi kuelewa kwa jinsi ulivyoelezea, UEFA wanaangalia H2H ya GD nimeelezea hapa chini

Kumbe timu sikifungana wanaangalia H2H ya timu zote zilizofungana
Kwa timu zote tatu Yaani Ajax, Chelsea na Valencia
Ajax kamfunga Valencia 3-0 kwa hiyo ana GD +3
Chelsea kamfunga ajax 1-0 kwa hiyo ana GD +1
na Valencia kamfunga Chelsea 1-0 kwa hiyo ana GD +1
Ukiweka GD total kwa kila timu
Ajax ana GD ya +2
Chelsea ana GD ya 0
Valencia ana GD ya -2
kwa hiyo Ajax anaongoza Chelsea namba 2 na Valencia namba tatu
Hata hivyo haijabadilisha kitu, muhimu ni kuwafunga Valencia basi
 
Yani ninacheka tu hapa kumbe hata Malafyale ana uafadhali!!

Mshabiki anayejiita wa Chelsea jana alijitapa kuwa hakuangalia game lakini cha ajabu leo anachambua game ilivyokuwa na kukosoa wachezaji wake wamekosa nafasi za wazi.

Je hizo nafasi walizokosa kaziona usingizini au?

Ukiwa Muongo uwe na Kumbukumbu
 
MTU anaefurahia huu ushindi ana element za element za kishoga..
Shoga ni mbwa koko kama wewe unayezibuliwa mtaro halafu unakuja kuparamia uzi usio kuhusu , punguani wahed wewe
 
Samahani Ngwaba
Nimefuatialia nilimiss creteria moja
Pamoja na maelezo mengi lakini mwanafunzi hawezi kuelewa kwa jinsi ulivyoelezea, UEFA wanaangalia H2H ya GD nimeelezea hapa chini

Kumbe timu sikifungana wanaangalia H2H ya timu zote zilizofungana
Kwa timu zote tatu Yaani Ajax, Chelsea na Valencia
Ajax kamfunga Valencia 3-0 kwa hiyo ana GD +3
Chelsea kamfunga ajax 1-0 kwa hiyo ana HD +1
na Valencia kamfunga Chelsea 1-0 kwa hiyo ana GD +1
Ukiweka GD total kwa kila timu
Ajax ana GD ya +2
Chelsea ana GD ya 0
Valencia ana GD ya -2
kwa hiyo Ajax anaongoza Chelsea namba 2 na Valencia namba tatu
Hata hivyo haijabadilisha kitu, muhimu ni kuwafunga Valencia basi

Hili kundi lenu limekuwa gumu kuliko chuma cha reli (iwapo tu utaangalia mathematicaly na ukahusisha kuangalia kimpira).

Lakini Mtu akiangalia kiushabiki ataona kila kitu ni Simple.

Kundi lenu litaamuliwa na mechi 1 tu ambayo ↓↓

Valencia v/s Chelsea

Hapo atakayemfunga mwenzake ndiye atakaesonga mbele

Mukitoka sare Chelsea atasonga mbele kwa 100%

Ajax ana possibility kubwa ya kumfunga Lille hatakama hatomfunga Valencia kwahiyo kusonga mbele yeye ni almost 90%

Kwahiyo Munaweza kwenda Spain na Mentality ya Draw tu na mukafanikiwa
 
Jana umeachama domo wazi ukiwa umekenua minjino kama ya mamba hadi udenda ukikutoka kwa kulala kama pono afu ndiyo unajileta hapa sasa hivi kuwa nawe ni Mshabiki uchwara wa Chelsea
Mbona imekuuma sana boya wewe , kunywa sumu ya panya basi . Pimbi wewe
 
We kimeo sikwenda kwenye kibanda umiza lakini nilikuwa nina simu, so siwezi kuangalia kwenye simu nikiwa home?

Acha tabia za kike kuhangaika na umbeya usio na tija, usikute hili nalo ni lijitu linalotegemewa na familia yake daaah...
Yani ninacheka tu hapa kumbe hata Malafyale ana uafadhali!!

Mshabiki anayejiita wa Chelsea jana alijitapa kuwa hakuangalia game lakini cha ajabu leo anachambua game ilivyokuwa na kukosoa wachezaji wake wamekosa nafasi za wazi.

Je hizo nafasi walizokosa kaziona usingizini au?

Ukiwa Muongo uwe na Kumbukumbu
 
Sifa 10 za mashabiki uchwara/feki humu ndani
  1. Wanatukana ovyo
  2. Wanashangilia timu ikicheza vibaya au kufungwa
  3. Wanawashambulia wachezaji bila sababu
  4. Wanashangilia timu pinzani ikishinda
  5. Wanajitokeza pale tu timu inafanya vizuri
  6. Wanaungana na mashabiki wa timu pinzani kuwashambulia mashabiki halali wa Chelsea
  7. Hawajui historia ya timu wala wachezaji wake wala manajimenti yake
  8. Ni watu wa kukimbilia kulaumu laumu ovyo
  9. Maandishi yao yanakera mno mpaka unatamani wangekuwa karibu na wewe unaachia ngumi tu
  10. Wengi wao wanaonekana ni wa umri mdogo wa chini ya miaka 20
Hasa hasa huyu popoma mkuu Interlacustrine
 
Acha kufatilia maisha ya Kidume wewe, kwani unaniwekea bando kwenye simu yangu hadi uwashwewashwe?

Mawatu mengine bhana, bando, muda na akili vya Mtu mwingine afu cha kuandika umpangie wewe, nina mashaka na vinasaba vyako vya kiume labda wawezakuwa siyo riziki...
Hasa hasa huyu popoma mkuu Interlacustrine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom