Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Baku tulikuwa na Luiz na Christansen kama FB na wakashindwa kufunga, je wakati huu wakata umeme akina Tomori na Zouma wako wataweza kweli. Nasubiri kwa hamu game hii na Arsenal tuwakimbize mchakamchaka mpaka wapotelee huko
Wewe nyamaza kimya,kwatarifa yako tukikutana na Asernal tunahisi kama tunacheza na Wigan athletic,hatuna wasiwasi et.
 
Kupigwa ni matokeo. Unadhani Soton alijua kama jana anaenda kubakwa mara tisa? Au leo Burnley alijua kama nyinyi vibonde mngebahatisha mara nne?

Sema kuna kikosi nikikiona najipiga ban kwa muda.
Hahahaha akuna kukimbia apa ..halafu kwanin upate tabu?? Njoo uku ule bata bana ...

Lampard anatupa raha Kila day, ninyi Kila Siku mnakula mateso na Kocha wenu muhindi yule anawapoteza hahaha

Piga mbuzi hao...
 
Hahahaha akuna kukimbia apa ..halafu kwanin upate tabu?? Njoo uku ule bata bana ...

Lampard anatupa raha Kila day, ninyi Kila Siku mnakula mateso na Kocha wenu muhindi yule anawapoteza hahaha

Piga mbuzi hao...
Sisi tunajipigia mbuzi wetu subirini kwanza.
 
Huyu akikaribiaga mwaisho wa mkataba wake anawasha moto kweli kweli lakini subiri aongeze mkataba utamchukia sana. Naona ni muda wa kuondoka aende Juve kwa babu Sarri.
Hawezi huko kkaishasema hapendi mfumo wa Sarri, labda ataenda Barcelona
 
Asee wazee mkipigwa tena na nyumbu, katika form hii mliyopo, ntastaajabu kweli.
 
Roberto Martinez on:
HAZARD VS PULISIC

  • Eden is a player that stops and assesses where he can execute his moment in a one v one situation,"
  • "I think Christian is dynamic, he always needs to be on the move. He's someone that needs to receive on the move, so they're very different in that aspect.
  • "I think what they bring in the final third is exactly the same, players that think and take control of the moment and then they can find a good assist or a goal."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom