Ila na nyie chelshit mna mambo. Hivi zapacosta sijui zapa nn, mlimtoa wapi huyu? Maana hilo jina zapa, unaona tu ucholobi, utafikiri bodi yenu walikuwa ni wakanjibahi
Ila na nyie chelshit mna mambo. Hivi zapacosta sijui zapa nn, mlimtoa wapi huyu? Maana hilo jina zapa, unaona tu ucholobi, utafikiri bodi yenu walikuwa ni wakanjibahi
Mi nakubaliana na wewe 100% sijawahigi kuona anachokicheza RLC, yeye na barcley ni kitu kimoja tu hawana utofauti wowote ......... trust mi ngoja arudi majeruhi, watakuja kuelewa tunachokisema. Wasije tu wakasingizia majeruhi ndio yamemshusha kiwango.Kwan cheek ndio anaanza msimu huu,?? karibu ana misimu mi 4 pale chelsea... lakn kiwango chake ni kile kile...
Sijuagi mnakiona kitu gani kw huyu RLC kwa kweli!. kiukweli utofauti wake na barcley ni sura tu ....... Ngoja apone, mtakuja kumkataa tu humu.Man nakuomba nenda kamuangalie tena na tena. RLC afanane na Barkley? Umemkosea heshima mno mkuu. Yule ndio wa kuja kucheza namba 10 amchangamshe Mount. Yale manguvu yake miguuni, zile skills zake kwenye dribbling, macho yake golini na pass zake za kwenda tofauti na mwili, mkuu hivyo uujaona mpaka umfananishe na Barkley?
Duuh unasema makocha walikua hawamuanzishi na kumbukumbu zangu msimu uliopita kacheza mechi nyingi kabla ya majeraha. Nataka nikuulize Mount anamzidi RLC dribbling skills? Mkuu nakushauri kafanye uchunguzi zaidi nimewafuatilia wachezaji wote kwa umakini kama ni RLC ndio nimemfuatilia zaidi huyu Mount nimeanza kumcheki msimu uliopita. RLC ni mwamba mzee ngoja muda utasema mwisho wa siku utakubaliana na mimi.Nakuhakikishia hakuna kocha ambae atamuweka mount nje ili RLC aanze..
Mount anaoffer nyingi zaidi ya cheek, mount anakaba anafanya dribble nzuri anajipostion vizur na anauwezo kukupa magoli zaidi ya 10 kwa msimu mmoja, cheek anamzid mount kwa msuli tu...
Ndio maana cheek karibu makocha wote wa chelsea walikuwa hawamuanzishi..
Mkuu youtube tunawaangalia wakina Okocha ambao walicheza mpira miaka ya 90. Sasa hadi hawa ambao tumerahisishiwa kuwaona tuwaangalie Youtube? Nafuatilia mpira zaidi ya unavyodhani. RLC ni mchezaji mzuri hakuna kocha asiye mtaka kwenye timu yakeNimemuangalia mara nyingi sana.. ndio maana nakeambia, lakin kama ww umemuangalia u tube sawa.. kwa maana u tube hata bakayoko ni mkali kuzid messi
Hehee.. Sawa mkuuHata namba ya mount hawezi kupata labda asubir dogo awe majeruhi au aanzie bench....
Hao wote wa kuuzwa tunawapotezea muda tu.Kumbukeni pia tuna kiungo wetu mkabaji DRINKING WATER yupo kwa mkopo BURNLEY.
Huyu naye auzwe?
Tuna WB ya kulia ZAPPACOSTA yupo kwa mkopo Ac Roma
Huyu naye auzwe?
Nahisi kuna kitu hujakijua. Cheek ana miaka 23 sasa ivi, kumbuka alicheza Crystal Palace kwa mkopo misimu miwili kabla ya msimu uliopita hapo tunahesabu miaka mitatu toa kwenye umri wake.Kwan cheek ndio anaanza msimu huu,?? karibu ana misimu mi 4 pale chelsea... lakn kiwango chake ni kile kile...
Duuh unasema makocha walikua hawamuanzishi na kumbukumbu zangu msimu uliopita kacheza mechi nyingi kabla ya majeraha. Nataka nikuulize Mount anamzidi RLC dribbling skills? Mkuu nakushauri kafanye uchunguzi zaidi nimewafuatilia wachezaji wote kwa umakini kama ni RLC ndio nimemfuatilia zaidi huyu Mount nimeanza kumcheki msimu uliopita. RLC ni mwamba mzee ngoja muda utasema mwisho wa siku utakubaliana na mimi.
Acheni utani nyie Ruben anajua,Mi nakubaliana na wewe 100% sijawahigi kuona anachokicheza RLC, yeye na barcley ni kitu kimoja tu hawana utofauti wowote ......... trust mi ngoja arudi majeruhi, watakuja kuelewa tunachokisema. Wasije tu wakasingizia majeruhi ndio yamemshusha kiwango.
Kweli kabisa,kuna kipindi tulitaka tumsogeze pale kwa maKING wa London ,mimi binafsi namkubali sana Ruben anajua ....Mkuu youtube tunawaangalia wakina Okocha ambao walicheza mpira miaka ya 90. Sasa hadi hawa ambao tumerahisishiwa kuwaona tuwaangalie Youtube? Nafuatilia mpira zaidi ya unavyodhani. RLC ni mchezaji mzuri hakuna kocha asiye mtaka kwenye timu yake
Me mwenyewe nawashangaa wanavyo mu underrated lotfus cheek ngojea jamaa apone sura zao sijui wataziweka wapi ukimtoa giroud hakuna mchezaji yoyote wa Chelsea aliyepiga attrick msimu uliopita wa sari zaidi ya lotfus cheek na ni kiungo hata statistics zake ni nzuri alafu Kuna wajinga wanaomponda.Acheni utani nyie Ruben anajua,