Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Patnership ya Jorginho na Kovacic imeshaklick tayari, sijui akipona Kante itakuaje, Kova akae bench, acheze Jorginho na Kante, au Kante aendelee kuwa bench,
Lampard namuonea huruma yupo dilema kwa sasa kupanga kikosi
 
Anatakiwa anawatumie wote watatu Kama alivyowatumia dhidi ya Liverpool kwenye mechi ya super cup nafikiri uliona shughuli walioipata liverpool.
 
Hahaa eti kibonde? Mzee kwenye mpira hakuna kubahatisha ukiona umefungwa ujue ulifanya makosa wenzako wakatumia nafasi vizuri. Kibonde mliyemtabiria mechi kumi za mwanzo sasa hivi anashika nafasi ya nne huku wewe uliyejitabiria nafasi za juu leo unashushwa mpaka nafasi ya 8.

Ni ngumu kuamini
Aliyefanya utabiri siyo mimi.
Naomba unitoe hapo.

Nafasi ya 8?
 
Kwahiyo ozil nae ni kilema? maana siku ile alikuwepo na kante alivyokuwa si mtu mzuri alimficha kisawasawa.
Sasa wewe jamaa kwa unavyodhani midfielder ya siku ile ingembania wapi Kante? Tulikua na CMF, Niles, akicheza kama RB, tulikua na midfielder nyanya tulikua na mistake maker Mustafi na jamaa asiyejua cross Kolasinac.

Winning was nowhere near.

Yaani ilikua ni kakomedi ka hapa na pale. Your midfielder outshined Arsenal's easily. Sasa hivi tuna mid ndiyo ila hawapangwi wanaojua.

So yeah mlicheza na vilema.
 
Sasa Kama ni hivyo mbona mnalaumu ozili apangwi na kocha lakini pia torreira alicheza but mbaya nae akapotezwa Kama upepo alafu wewe huna midfield ya kapambana na Chelsea kabisa hata ambao unasema hawapangwi yupi midfielder wako anaeweza kupata namba kwa watu Kama kante, gorginho na kovacic sema tu ukweli.
 
Yaani katika uliowataja hapo kiukweli ni Kante tu ndiyo anatisha hao wawili ni makopo.

Kopo moja lina homa ya vipindi kopo jingine liliachwa na timu kubwa duniani. Sikia, mchezaji mkali akiwa Chelsea ataenda Madrid, kama Hazard na sasa hivi Kante anatakiwa. Mchezaji mbovu akiwa Madrid ataenda Chelsea, mfano Morata na huyu Kovacic.

Emery ana tatizo la kuwapa watu positions zisizo zao au kupanga maandazi. So mlicheza na Toreira ndiyo ila hakua position yake.
 
Patnership ya Jorginho na Kovacic imeshaklick tayari, sijui akipona Kante itakuaje, Kova akae bench, acheze Jorginho na Kante, au Kante aendelee kuwa bench,
Lampard namuonea huruma yupo dilema kwa sasa kupanga kikosi

Na ndio invyotakiwa Mkuu, Kocha anatakiwa awe na headache katika machaguo kwa kuwa wachezaji wote wanapiga kazi

Ila akipona Kante na Loftus nadhani atakuwa na uwezo wa kucheza mfumo wa 4-4-2 (Diamond) kwa urahisi zaidi.
 
Yaani katika uliowataja hapo kiukweli ni Kante tu ndiyo anatisha hao wawili ni makopo.

Kopo moja lina homa ya vipindi kopo jingine liliachwa na timu kubwa duniani. Sikia, mchezaji mkali akiwa Chelsea ataenda Madrid, kama Hazard na sasa hivi Kante anatakiwa. Mchezaji mbovu akiwa Madrid ataenda Chelsea, mfano Morata na huyu Kovacic.

Emery ana tatizo la kuwapa watu positions zisizo zao au kupanga maandazi. So mlicheza na Toreira ndiyo ila hakua position yake.
Naona kijana unaongozwa na ushabiki kwahiyo unataka kuniambia di Maria, ozil, khedira, James Rodriguez ni wachezaji wa ovyo ndo maana wakauzwa na Real Madrid?
 
Lampard ni kiongozi bora na anajua namna ya kuwamotivate team na mchezaji mmoja mmoja. Najifunza mengi ya uongozi kutoka kwake Zaidi ya makocha wengi waliopitia Chelsea
Soma anavyowaambia wachezaji wake hata baada ya kufungwa mabao miwili yaliyoharibu cleansheet nzuri.

“I will be the first to criticise sloppy goals, and they were. But not tonight because of the way they played, their movement on the ball, there were so many great things to admire. I’m not letting that in the dressing room tonight, we came to a really tough place and won comfortably.”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom