Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,031
- 42,374
Aiseee kwahiyo kumbe sisi ni vibonde?
Kupigwa ni matokeo. Unadhani Soton alijua kama jana anaenda kubakwa mara tisa? Au leo Burnley alijua kama nyinyi vibonde mngebahatisha mara nne?
Sema kuna kikosi nikikiona najipiga ban kwa muda.
