OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Muhimu ushindi mzee ..tuwangoje wana nzengo waje na kelele zao..Lampard atajilaumu sana kuwatoa akina Willian maana baada ya hapo Chelsea ilipoteza uelekeo kabisa kutengeneza nafasi na kupoteza mipira hovyo kati