Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii sub ya kovacic alitakiwa aifanye mapema kabla ya goal halijarudi..lakini si mbaya..!
 
Jamani kuna nini uwanjani? Nilipata mgeni nikaacha 1-0 na possession ya 80-20 nimerudi nakuta 1-1- na possession ya 49-51
Kuna nini jamani
 
Ninachotumaini na iwe hivyo ni kwamba Lampard anajifunza na atarekebisha
Ninaomba RLC, Rudiger na Reece apone na wawe fit haraka
 
Kwa mtindo huu mimi naona tumepona
Lampard fanya mabadiliko haraka yenye tija

Kama high pressing inachosha vijana punguza speed
Tunakuwa kama nguvu za soda bana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom