Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijaona kikosi cha kumfunga Leicester.. Kesho kifua mbele.. Kibanda umiza [emoji57][emoji57]
 
VAR imeanza vituko vyake, City yanyimwa point 3 kwa sababu ya VAR
 
Msimamo wa Leo:

√ Chelsea akishinda atakamata nafasi ya 11

• Akitoka Sare atakamata Nafasi ya 15

× Akifungwa atakamata nafasi ya 20


Nadhani AROON alikuwa sahihi aliposema Chelsea atamaliza ligi kuanzia Nafasi ya 10 na kuendelea.
 
Kesho tunaanza kampeni ya

Lampard Out
Bila shaka hiyo kampeni utaifanya wewe na familia yako,ila sisi tunaamini pasipo shaka kuwa timu yoyote itakayokanyaga darajani lazima ipigwe nyingi hilo halina ubishi.
 
Msimamo wa Leo:

√ Chelsea akishinda atakamata nafasi ya 11

• Akitoka Sare atakamata Nafasi ya 15

× Akifungwa atakamata nafasi ya 20


Nadhani AROON alikuwa sahihi aliposema Chelsea atamaliza ligi kuanzia Nafasi ya 10 na kuendelea.
Hahaha Yan umecheza mechi mbili tu ..umeanza kuongea pumba kama ndo ligi inaisha hivi.. Kwa timu yenu ile middle zina pwaya, beki ni vvd tu ndo kabaki ..unategemea mpka desemba utakuwa apo ulipo...
 
Eti lampard out wewe shabiki wa arsenal lampad anakuhusu nini unaendaje kuokoa kwa jirani wakati kwako panateketea
 
Today is a must win game endapo Lampard atapanga kikosi kilichoanza game ya Loserfool juzi sion leicester akichomoka leo
 
Natamani kikosi Cha Leo kiwe hivi
1.kepa
2.alzipicueta
3.emerson
4.rudiger
5.christen
6.kante
7.pedro
8.jorginho
9.girodi
10.barkley
11.pulisic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom