Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wafatilie vzr ,wasiwe wanaishia kuangalia matokeo tu, Kante anacheza role ile ile ya sariKuna Jamaa hapo anasema Kante anacheza popote
Wafatilie vzr ,wasiwe wanaishia kuangalia matokeo tu, Kante anacheza role ile ile ya sariKuna Jamaa hapo anasema Kante anacheza popote
Alivyosema innocent ni sawaWadau tusiwe wabishi. Kante hachezi kabisa mbele ya defenders. Bado anatumika kama alivyokuwa anatumika kipindi cha Sarri. Naomba Leo mu-analyse vzur uone
Luiz bado the best ukicompare na uozo wa kina zuma na christensen sijui, anawazidi mbali sn No matter what.
Lakini wengi wenu mulikua munalalamika wakati sarri alipokaua akimchezesha box to box na mpaka mukafikia kutaka kocha afukuzwe na sababu kuu ni kua hamchezeshi kante namba 6
ArrsenAnal angalia wanaume wanapiga kaziCome on wanangu wa King power
Leicester XI: Schmeichel, Perreira, Soyuncu, Evans, Fuchs, Ndidi, Tielemans, Choudry, Perez, Maddison, Vardy
CHELSEA TUSICHUKIANE ,KILA MTU AMUOMBEE NJAA MWENZAKE KWA MUDA WAKE
Angalia footwork ndo utajua kocha ana mwelekeo au mbabaishajikocha ameshindwa kuleta ushindi kwenye mechi mbili,
Unataka nisiwe na wasi wasi!
Nikiwa na wasi wasi unaniita plastic fan!
Nimeelewa mkuu.Angalia footwork ndo utajua kocha ana mwelekeo au mbabaishaji
Hii chelsea itakuja kua tishio.....
Hasa kwenye counter attack ni hatari mnoMfumo wa kukabia deep huwa ukikosea kidogo tu unalizwa