Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aisee huna hata faraja kwa mgonjwa?
#Mwakawatabu
Tatizo Chelsea fans hawataki kumbiwa ukweli

Niliwaambia Leicester ,Watford ,Everton wana forward nzuri kuliko wao ,hivo watapata tabu sana kwa hizi timu kuchukua point ,

Hivi forward hii

Iwobi - richarlson- moise keane

Deney - welbeck- ismail sarr

Madson -vardy- ayoze

UNAWEZA KUIFANANISHA NA FORWAD YA CHELSEA ya

Pulisic-jirud/abraham-pedro??
 
Hivi wale waliokua wakitusifia abraham wapo wapi? mpaka clip za youtube walikua wakituekea
Hapana mimi sijamaanisha kwamba Abraham hafai,nilikuwa najaribu kuangalia mahitaji ya timu wakati liecester wakitukishambulia.. ilikuwa haina haja ya kumuingiza straika wakati timu imepoteana katikati,huyu kovacic alitakiwa kuanza au lampard angemweka punde tu kipindi cha pili kinapoanza...
Uzuri lampard kakiri kabisa kwamba anatatizwa na kupanga kikosi cha kwanza
The blues till I die
 
Tuko vizuri ni bora kuanza kwa kusuasua na kumaliza vizuri,mbio hizi ni marathon never give up
unasema?
68902009_360122421576834_6959741245548196425_n.jpeg
 
Tumefungwa wadau na hasa kipindi cha pili tumezidiwa na sababu hasa ni;
1. Wachezaji wametumia dk 120 kucheza dhidi ya timu nzuri katikati ya wiki

2. Leicester ni timu nzuri na inacheza vizuri hasa katikati

3. Leicester wana kocha mzoefu anayejua kucheza mechi kubwa.

Mimi kwangu bado naona huu ni mwanzo kujua kama timu ni nzuri mbaya. Nimejipa mechi 10 kufanya evaluation.
kati ya hizo kumi hii ni ya tatu au ya pili
 
2 points dropped. Actually hata hiyo moja ni bahati maana zile counter attacks za Leicester zilikuwa za kiwango cha Stigler Gorge. Nadhani kuna haja ya kuhakikisha Batshuayi anabaki tu. Tammy na Giroud hawatupeleki popote
huko alipo anafanya makubwa gani kushinda hawa waliopo?
 
Wadau tusiwe wabishi. Kante hachezi kabisa mbele ya defenders. Bado anatumika kama alivyokuwa anatumika kipindi cha Sarri. Naomba Leo mu-analyse vzur uone

Mkuu hawa watu ni mashaka tu.
Na kubwa hawelewi hata wanachokizungumza. Huyo kante lini aliwahi cheza hiyo namba sita wanayoizungumza binafsi siikumbuki. Kante sikuzote amekua akicheza twin midifilders pale kati, nayeye hua hakai kabisa. Si france, Leicester wala chelsea kipindi cha Conte. Martic ndie aliekua akicheza 6 sio kante, na baadae Cesc. Sijui huo mpira wanatizama vipi kabisa hawa jamaa.
 
Hapana mimi sijamaanisha kwamba Abraham hafai,nilikuwa najaribu kuangalia mahitaji ya timu wakati liecester wakitukishambulia.. ilikuwa haina haja ya kumuingiza straika wakati timu imepoteana katikati,huyu kovacic alitakiwa kuanza au lampard angemweka punde tu kipindi cha pili kinapoanza...
Uzuri lampard kakiri kabisa kwamba anatatizwa na kupanga kikosi cha kwanza
The blues till I die

Mimi ndio nasema Abraham hafai. Huwezi tegemea forward anaetoka championship eti aje akubebe kugombea nafasi za juu kwenye Ligi kuu. Ni Ufinyu wa fikra kabisa.
 
Alivyosema innocent ni sawa
Kante japokuwa bado anacheza deep role lakini wamepewa uhuru wa kushambulia na kudefense tofauti na wakati wa sarri

Tofauti yake chini ya lampard kante anakuwa free kucheza maeneo yote na jorginho na kovacic wanakuwa flexible if jorginho na kovacic wakipanda kante arudi chini na ikitokekea kovacic na kante wakipanda jorginho arudi chini na pia kante na jorginho wakipanda kovacic anarudi chini kiufupi Kuna kuwa hakuna permanent no 6 au 8 ndo maana Mashabiki hawaongei.I think umenielewa.

Endeleeni kujidanganya
 
Siku Arsenal atakayoteleza nakushauri ujipige Ban ya Mwezi mmoja venhinevyo Chelsea watakuchuna Ngozi kwani mpaka walioko vijijini watakuja mjini kufata Internet ili wakutafute tu.
Lazima nijipige ban kama Ollachuga
Japo wao walishakuja kuniandama , na msimu huu inaonesha watachezea vipigo vingi tu, kwahiyo watakuja siku 2 ,siku ya 3 nawaibukia
 
Tofauti Kati ya maji maji na Chelsea ni Chelsea wapo London uingereza tu.. Maji maji ipo Tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom