Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Wamekunyoa hao haoHii manure yenye Bissaka na Magwaya!!!!
Wamekunyoa hao haoHii manure yenye Bissaka na Magwaya!!!!
Taja team kwenye Epl ambayo haijafungwa 4 ,Chelsea ya Conte 2016 /2017 ilifungwa na vibonde Arsenal 3 bila Ikanyanyua ndoo EPL, goli 4 sio issue sana kinachotakiwa kurekrbisha makosa na kuendeleaGoli 4 mtungi unasema ni vitu vidogo tu mmezidiwa haha mpaka ulambe goli 6 au nane ndo akili iwakae sawa?
Ulisema kweliWazee wa kubet pls leo apewe Man u, Jumatano apewe liverpool, Jpili ijayo apewe leicester city, chelwowo watapigwa watachakaa.
Huyo "nani sijui" anayo EPL,Europa,FA taja wachezaji wako waliobeba hayo makombe ,huyo Giroud muulize BAKU alikufanyaje,huyo Kepa anadaka Spain kipa wako muulize alishawai kudaka Germany lini? Tutaelewana tuOhoo tumecheza vzr ,wakati wachezaji wenu ndio hao hao ,
Zikifika mech 10 mpo top 6 mnaenda kubeba EPL ,
Kipa kepa
CB Zuma & na nan sijui
Sub tomori
Straika sasa ,jirud ,Abraham
Yaan mnaleta kikosi cha championship EPL ?
tutaelewana vzr msimu huu
Umeshakula 4-0 sio muda hebu tulia ukauke kwanzaG
Huyo "nani sijui" anayo EPL,Europa,FA taja wachezaji wako waliobeba hayo makombe ,huyo Giroud muulize BAKU alikufanyaje,huyo Kepa anadaka Spain kipa wako muulize alishawai kudaka Germany lini? Tutaelewana tu
Nawaambia ukweli ndugu zangu,msema kweli mpanzi wa Mungu. Kwa hii timu yenu liverpool atawadhalilisha vibaya mno katika mchezo wenu unaofuata. Hapo sijamzungumzia Pep ambaye pale kati na mbele amekamilika vibaya mno. Atawabamiza sio chini ya saba, sisi kati tulikuwa hovyo na mbele lakini tumewararua nne bila. Poleni sana! | |
Wewe ni debe tupu linapiga kelele at the end Chelsea is always ,always better than your team ,haunisumbui hata kidogo na kelele zako tunazizima kwa mafanikio ,mwishoni Chelsea Mara zote tuna furaha kuliko Arsenal .Pokea msumari huuUmeshakula 4-0 sio muda hebu tulia ukauke kwanza
Niambie umeona ni nini kifanyike kuweka mambo sawa.Goli 4 mtungi unasema ni vitu vidogo tu mmezidiwa haha mpaka ulambe goli 6 au nane ndo akili iwakae sawa?
Subiri basi hizo mechi 10 zikamilike.Kama man u mbovu hii imekufunga , subir kina wolves wakubonde zaidi
Mpira mmecheza ila huna CB ,et sub tomori ,
Nilikwambia huna timu msimu huu unanibishia sawa , tuone msimu huu
Nilisema ikifika mech 10 mpo top 6 bas mtabeba EPL , nakukumbusha tu ,
Unapayuka Chelsea ni kakilabu ka pombeWewe ni debe tupu linapiga kelele at the end Chelsea is always ,always better than your team ,haunisumbui hata kidogo na kelele zako tunazizima kwa mafanikio ,mwishoni Chelsea Mara zote tuna furaha kuliko Arsenal .Pokea msumari huu
Munapigwa mpk muchakae
Pole lkn tatizo unatanguliza ushabiki maandaz mbele ,unanikumbusha arsenal moja tulikuwa tunapiga Mpira kama mliopiga Leo ila tunafungwa kipumbavu, uzuri Wenger ni mwalimu ,mwisho wa siku top 4 anazama,Subiri basi hizo mechi 10 zikamilike.
Hongera kwa kukubaliTumekubali kushindwa kwa siku ya leo. Naaamini tutajipanga next coming games