Tatizo mnatoka kwenye uhalisia mnaanza majungu. Nakwambiaje Chelsea hata awe mbovu kiasi gani nafasi mbovu atakayoshika ni ya 8 haiwezi kuwa chini ya hapo hata iweje. Hebu ongeeni kiuhalisia acheni porojo.Wasipojiangalia kwa timu zilivyojipanga wanashuka kweli
Wewe Watford winger wana Ismair sarr , forward wana welbeck na Deney, kiungo wana deocure na kina Pereira,
Everton wana Trio safi IWOBI-RICHARLSON-KEANE MOISE
bado kina wolves ,Leicester
Wasipokaa sawa na Ban waliyoipata watajikuta mwezi wa 4 wanapigania wasishuke daraja
Acha usenge usenge huo cheltako ndo nn
Kwani Man City na AssAnal lini?Hivi Chelsea na Man city lini???
Kwa udhamini wa PAZIA KEPA
Huyo hatumuwazii sisi msimu huu, ategemee upinzani mkali kama anaoupata kwa liverpool.Kwani Man City na AssAnal lini?
Kipindi leicester anachukua ubingwa mlimaliza nafasi ya kumi na timu ilikua nzuri tu, sasa tuna mashaka na timu hii kama itaweza kweli mbele ya leicester,watford,wolves,everton na bournemouth,Tatizo mnatoka kwenye uhalisia mnaanza majungu. Nakwambiaje Chelsea hata awe mbovu kiasi gani nafasi mbovu atakayoshika ni ya 8 haiwezi kuwa chini ya hapo hata iweje. Hebu ongeeni kiuhalisia acheni porojo.
Wewe ulipata point ngapi kwa hizo timuKipindi leicester anachukua ubingwa mlimaliza nafasi ya kumi na timu ilikua nzuri tu, sasa tuna mashaka na timu hii kama itaweza kweli mbele ya leicester,watford,wolves,everton na bournemouth,
Ikumbukwe msimu uliopita ulipata point moja moja tu kwa wolves,everton na leicester.
Mkuu hii Chelsea haiwezi shika 8, Man U wameifunga timu bora kwa counter attack na wao wanajua hilo. Bahati haikuwa kwetu. Tunawasubiri Darajani marudiano. Lampard anachotakiwa ni kuiandaa timu kwa counter attack kwa sababui naona kama hakuiandaa kwa situation hiyo. Kukosa magoli hasa kipindi cha kwanza ni bahati mbaya na daima bahati mbaya haijirudii.Tatizo mnatoka kwenye uhalisia mnaanza majungu. Nakwambiaje Chelsea hata awe mbovu kiasi gani nafasi mbovu atakayoshika ni ya 8 haiwezi kuwa chini ya hapo hata iweje. Hebu ongeeni kiuhalisia acheni porojo.
Fananisha chelsea ya msimu huu na msimu uliopita utapata majibu kama mtaweza kutoboa, lakini kama ukifananisha na timu zingine unakosea mkuu.Wewe ulipata point ngapi kwa hizo timu
Ndio ligi kwanza imeanza na tumeanza na Nyama ngumu yenye mifupa na miiba mingi, ngoja tufikie kwenye steki, tutakavyoanza kula kama nyie mlivyokula halafu mnatambalembu Mulijitahidi kuhadaliwa na bijiushindi vya preseason ambavyo watu walikuwa wakijaribu vikosi vyao mukajiona muna bonge la timu sasa unaona madhara Yake?
Si tuliwaambia hapa kuwa hamuna timu mukabisha? Ona sasa!
Ivi kumtegemea Abraham kuwa ni Striker na Kumtegemea Zouma kuwa ni Beki kweli inaingia akilini?
Sijakujibu wewe ,nilikuwa namjibu huyo aliyekuja kishabiki ,Tatizo mnatoka kwenye uhalisia mnaanza majungu. Nakwambiaje Chelsea hata awe mbovu kiasi gani nafasi mbovu atakayoshika ni ya 8 haiwezi kuwa chini ya hapo hata iweje. Hebu ongeeni kiuhalisia acheni porojo.
Mmeanza matusi yenu, mkiitwa cheltako ,chelwowo,chelmsambwanda mnalalmika sana ,hiv mkitaja timu za wenzenu kama zinavyoitwa mnapungukiwa nn? Huu ushabiki maandazi ,ndio unawaponzaga mnajipiga banKwani Man City na AssAnal lini?
Mkuu kama tumedhalilishwa na man u ambao kiuhalisia ni wabovu Kama sisi, unaamini kuna timu tutaifunga ndani ya zile top sixWewe hujui unachoongea, this is a single match
Mkuu hayo majina mnayotuita mmeanza wenyewe. Kwa mara ya kwanza nimeona chelsea imeitwa jina bovu ni kutoka shabiki wa Man Utd tena ni misimu ya nyuma na mpaka leo nyie wenyewe mnatuita majina majina mabaya kwenye majukwaa mengine halafu huku mna act loyal.Mmeanza matusi yenu, mkiitwa cheltako ,chelwowo,chelmsambwanda mnalalmika sana ,hiv mkitaja timu za wenzenu kama zinavyoitwa mnapungukiwa nn? Huu ushabiki maandazi ,ndio unawaponzaga mnajipiga ban
Kwa bahati mbaya au nzuri mpira hauchezwi kwa ku assume.Kama Manchester United na forward yake hii ya Umisenta inatengeneza nafasi 5 inaweka kambani 4, mkikutana na Timu kama Manchester city yenye Top striker na viungo wenye uwezo wa ku create chances zaidi ya 12 per game mtasalimika kweli.