Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukiambiwa una stress na katimu kako unakuwa mbishi maana kwa kigezo hiki zile timu za china kule ndio zingekuwa timu kubwa duniani maana wana pesa za kutosha
Kwa sasa ni
  1. Man U
  2. Mancity
  3. Chelsea
  4. Liverpool
  5. ? labda hapa ndio wanaingia hao wa bajeti ya 45m
Hii ripoti ya BBC ya November 2001 kwa klabu Tajiri duniani bado Chelsea ilizishinda Arsenal na Liverpool halafu mnatuletea mdomo hapa kumbe ufukara ulishawaandama tangu hata Chelsea haijauzwa

1 Manchester Utd £117m
2
Real Madrid £103.7m
3 Bayern Munich £91.6m
4 AC Milan £89.7m
5 Juventus £88.4m
6 Lazio £79.4m
7 Chelsea £76.7m
8
Barcelona £75.2m
9 Inter Milan £68.9m
10 Roma £64.1m
11 Arsenal £61.3m
12
B Dortmund £59.5m
13 Leeds United £57.1m
14
Fiorentina £54.2m
15 Rangers £51.7m
16 Marseille £49.9m
17 Tottenham £48m
18
Parma £47.5m
19 Liverpool £46.4m
20 Newcastle £45.1m

Source:http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/eng_prem/1684629.stm

Kwa timu za England 2001
  1. Manchester Utd £117m
  2. Chelsea £76.7m
  3. Arsenal £61.3m
  4. Leeds United £57.1m
  5. Tottenham £48m
  6. Liverpool £46.4m
  7. Newcastle £45.1m
 
Katika timu 5 kubwa pale england chelsea haipo ila Gunnerz wapo mzee ...hahahaha UNAKWAMA WAPI??????

Kwa utajiri na mafanikio katika soka, Chelsea Haikosekani top 5 Uingereza.
 
Sasa kwanini DAVID SEAMAN,DENIS BERGKAMP,MARK OVERMAS,TONY ADAMS,MARTIN KEWON,PATRICK VIEIRA,EMMANUEL PETIT,IRON WRIGHT,ROBIN VAN PERSIE,THIERY HENRY,NWANKO KANU,FREDDIE LGUNBERG n.k wasiwe malegend kulingana na hiyo maana yako ya legend? Maana cjaona mahala umeandika ni lazma ubebe ucl.....mnakwama wapi????
Mpira kaanza kuangalia 2008, legends anayewajua ni steve G pale liverpool na Drogba hapo chelsea, sio kosa lake ila hajui, hata Spurs na Newcastle wana malegend wakina Alan shearer,Tedy sheringham et al.
 
Man united
Liverpool
Arsenal
Man city
Spurz

Hiyo takataka chelsht ipo chini ya wolversampton na burnley
Umeona jinsi ulivyopagawa.
IMG-20190810-WA0000.jpeg
 
Hiyo rank yako hapo inawazodoa maana ipo hivi

LIVERPOOL
MANCHESTER UTD
ARSENAL
CHELESEA
ASTON VILLA

sasa kwa nini humuheshimu mtu aliyekupita ktk rankng??????

Wewe yakupasa uongee na villa huko

Kwa utajiri na mafanikio katika soka, Chelsea Haikosekani top 5 Uingereza.
 
Ukiambiwa una stress na katimu kako unakuwa mbishi maana kwa kigezo hiki zile timu za china kule ndio zingekuwa timu kubwa duniani maana wana pesa za kutosha

Washabiki wa Chelsea ndiyo mashabiki pekee duniani Wanaoforce timu yao iitwe timu kubwa Duniani sawa na Barcelona na Real Madrid.

Sasahivi wanajiita eti wao ni Timu kubwa Uengereza baada ya Man United!

Ukiwaambia "Nyinyi hamujafikia ukubwa hata ndani ya London tu achiliambali Uengereza yote" basi wanakuwa wabishi.

Haya waambie Wekeni Makombe yenu yote, Na Arsenal aweke Yake Yote ili tujue nani mwenye Mafanikio zaidi ndani ya London kwa kuwa na Makombe mengi! Hapo wanapoteana. Mwisho watakujia na Ranking za Utabiri eti ndiyo Rank ya timu kubwa 😀😀😀

Hawajui kama Timu zilizowasajili Oscar na Tevez zinahela ya kumfa mtu! Sijui Nazo ni timu kubwa? 😀😀

Kuna LA Galaxy inaminoti ya kwenda Mwezini! Sijui nawao ni timu kubwa? 😀😀

Na PSG nayo itakuwa timu kubwa kuliko AC MILAN 😀😀

Hakuna tofauti yoyote kati ya Chelsea na Everton.
 
Hiyo rank yako hapo inawazodoa maana ipo hivi

LIVERPOOL
MANCHESTER UTD
ARSENAL
CHELESEA
ASTON VILLA

sasa kwa nini humuheshimu mtu aliyekupita ktk rankng??????

Wewe yakupasa uongee na villa huko

Ukitumia neno 'MOST SUCCESSFUL' kuwa ndiyo linalodefine 'UKUBWA' hao huwa hawataki.

Wataishia tu kujiita wakubwa!

Lakini ukiwataka Vielelezo ukubwa wao unatokea wapi? Watakuletea Links za Forbes
 
Washabiki wa Chelsea ndiyo mashabiki pekee duniani Wanaoforce timu yao iitwe timu kubwa Duniani sawa na Barcelona na Real Madrid.

Sasahivi wanajiita eti wao ni Timu kubwa Uengereza baada ya Man United!

Ukiwaambia "Nyinyi hamujafikia ukubwa hata ndani ya London tu achiliambali Uengereza yote" basi wanakuwa wabishi.

Haya waambie Wekeni Makombe yenu yote, Na Arsenal aweke Yake Yote ili tujue nani mwenye Mafanikio zaidi ndani ya London kwa kuwa na Makombe mengi! Hapo wanapoteana. Mwisho watakujia na Ranking za Utabiri eti ndiyo Rank ya timu kubwa 😀😀😀

Hawajui kama Timu zilizowasajili Oscar na Tevez zinahela ya kumfa mtu! Sijui Nazo ni timu kubwa? 😀😀

Kuna LA Galaxy inaminoti ya kwenda Mwezini! Sijui nawao ni timu kubwa? 😀😀

Na PSG nayo itakuwa timu kubwa kuliko AC MILAN 😀😀

Hakuna tofauti yoyote kati ya Chelsea na Everton.
Rudisheni fahamu zenu acheni ushabiki wa hovyo.

Huyo Arsenal kajaza makombe mnayoyaita Mickey Mouse Cups Chelsea ana makombe ambayo ni ya wanaume kweli leo hii angalia ulicho andika hapo. Haya unasema level zetu ni Everton hebu niambie kanizifi nini huyo Everton?

Sisi hatujiweki level hizo ila at least level tulizo hawezi kuitoa Chelsea katika timu 5 bora EPL na timu 10 bora ulaya.
 
Ukitumia neno 'MOST SUCCESSFUL' kuwa ndiyo linalodefine 'UKUBWA' hao huwa hawataki.

Wataishia tu kujiita wakubwa!

Lakini ukiwataka Vielelezo ukubwa wao unatokea wapi? Watakuletea Links za Forbes

Pita na hiyo link kajisomee mwenyewe pamoja na wenzako. Huu mjadala ufungwe mtu yoyote anayeelewa mpira huwezi kuitoa Chelsea kama the Most Successful Teams.
 
Rudisheni fahamu zenu acheni ushabiki wa hovyo.

Huyo Arsenal kajaza makombe mnayoyaita Mickey Mouse Cups Chelsea ana makombe ambayo ni ya wanaume kweli leo hii angalia ulicho andika hapo. Haya unasema level zetu ni Everton hebu niambie kanizifi nini huyo Everton?

Sisi hatujiweki level hizo ila at least level tulizo hawezi kuitoa Chelsea katika timu 5 bora EPL na timu 10 bora ulaya.
EPL ni Mickey Mouse Cup???????aiseeeh wewe bado fahamu hazijakurudia vizuri kalale tena ukiamka uje....
 
Nipe vigezo kwenye hiyo list kwa nini Chelsea haipo na Spurs yupo.
Hiyo nilizingua kiutani tu ila nyinyi mnapaswa kuheshimu timu hizi LIVERPOOL,MAN UTD ,ARSENAL kwa sababu wapo juu yako kimafanikio......maana Arsenal huwapati kwa idadi ya makombe wala head to head wanakugalagaza
 
Hii ndo kikosi cha kesho; sijui watu wanasemaje Man U ni wazuri zaidi yetu. Angalia wanaokaa bench kila upande
 
Attachments

  • Screenshot_20190810-210626.jpg
    Screenshot_20190810-210626.jpg
    76.8 KB · Views: 21
Una kichaa wewe si bure yapaswa ufungwe kama...yaani ufananishe hao takataka na OZIL MESUT kwa ukubwa wa majina!!!!!omba msamaha kwa huyu mtu,umepata dhambi kubwaaaa
Ozil kufanya nini Arsenal? Origi kaiwezesha Liverpool kuchukua UCL
 
Pita na hiyo link kajisomee mwenyewe pamoja na wenzako. Huu mjadala ufungwe mtu yoyote anayeelewa mpira huwezi kuitoa Chelsea kama the Most Successful Teams.
Hata wabadilsihe keyword bado Chelsea ni timu kubwa na ndio maana wamejazana hapa kwenye jukwaa na strees zao za kuiogopa Chelsea, Kwa makombe Chelsea ipo juu, kwa pesa tupo juu, wivu utawamaliza tu!
Na huyu Ngwaba hata ushabiki wake hauendani kabisa na signature yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom