Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
whaaaatHii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.



whaaaatHii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.



Hizi timu hata ziwe mbovu vipi mwisho ni namba sita. Gap kati ya sita na saba ni kubwa sanaNafasi yake ni ya 11 hadi 15 ligi ikiisha, tuombe tu uzima Mzee Baba, huu ni mwaka wetu kwa maumivu tele washabiki wa Chelsea
Mara hiiLampard must go.
Watoto hawajamature....tunaanza kua kama arsenal ileeeeMkuu ulivyoangalia game unafikili kosa liko wapi?
Wewe hujui unachoongea, this is a single matchLampard ni mbahatishaji hakuna anachokijua kuhusu coaching tactics & technics
Yaani tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Wewe team yako imeshinda kikombe gani hadi sasa?wenye team wanashinda vikombe mf Man city EPL,Liver Uefa,Chelsea Europa .usitupigie kelele humuWiki nzima kuzunguka mnapiga mboyoyo mnadai mna timu ,
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wabishi
Wewe team yako imeshinda kikombe gani hadi sasa?wenye team wanashinda vikombe mf Man city EPL,Liver Uefa,Chelsea Europa .usitupigie kelele humuWiki nzima kuzunguka mnapiga mboyoyo mnadai mna timu ,
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wabishi
Mkuu tafadhali ile hesabu yetu endelea kuitunza mpaka mwisho wa msimu. Isiipoteze tafafhaliHii post naweza kuihifadhi?![]()
![]()
RLC, Kante, Willian, Rudiger, CHO hao hawakuwepo leo lakini angalia shots na saves. Binafsi sina mashaka na timu yangu kinachokuja kinafurahisha. Tatizo ni umaliziaji tuu.View attachment 1178635
Takwimu zinaonyesha tumeviziwa viziwa tu,kila kitu kilikuwa upande wetu except goals only ,movement with and without ball were glorious the boys did good job ,let wait at the end it shall speakRLC, Kante, Willian, Rudiger, CHO hao hawakuwepo leo lakini angalia shots na saves. Binafsi sina mashaka na timu yangu kinachokuja kinafurahisha. Tatizo ni umaliziaji tuu.View attachment 1178635
Huyo mbuzi umeuziwa wewe na nani?Lampard ni mbahatishaji hakuna anachokijua kuhusu coaching tactics & technics
Yaani tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Takwimu zinaonyesha tumeviziwa viziwa tu,kila kitu kilikuwa upande wetu except goals only ,movement with and without ball were glorious the boys did good job ,let wait at the end it shall speak
Goli 4 mtungi unasema ni vitu vidogo tu mmezidiwa haha mpaka ulambe goli 6 au nane ndo akili iwakae sawa?Mkuu mimi nimeangalia mechi vizuri. Ni vitu vidogo sana vya kurekebisha hata siumii na nafurahi tumeanza hivi inaonyesha mapungufu mapema sana. Kufika mechi kumi tutatafutana hapa.
*Factor for the defeat of Chelsea by Man Utd*.Wewe team yako imeshinda kikombe gani hadi sasa?wenye team wanashinda vikombe mf Man city EPL,Liver Uefa,Chelsea Europa .usitupigie kelele humu









Nafasi ya 15 inawahusuMkuu tafadhali ile hesabu yetu endelea kuitunza mpaka mwisho wa msimu. Isiipoteze tafafhali
HahahaMsimu ulioisha kwenye EPL
-
ALLISON RAMSES BECKER karuhusu goals 20 tu msimu mzima..
KEPA ANAZUBAAGA karuhusu goals 21 ndani ya mechi 10..
-
Msimu huu chelsea kushuka daraja ni suala la muda tu!
Kumbuka una jirudi na Abraham unataka wakupe 25+ goals hahhahahahahhahahahahah
Kama man u mbovu hii imekufunga , subir kina wolves wakubonde zaidiMkuu mimi nimeangalia mechi vizuri. Ni vitu vidogo sana vya kurekebisha hata siumii na nafurahi tumeanza hivi inaonyesha mapungufu mapema sana. Kufika mechi kumi tutatafutana hapa.
Huna beki huna straiker mtakuwa mnakimbiakimbia hivo hivo , mwisho mnapigwa ,Mkuu mimi nimeangalia mechi vizuri. Ni vitu vidogo sana vya kurekebisha hata siumii na nafurahi tumeanza hivi inaonyesha mapungufu mapema sana. Kufika mechi kumi tutatafutana hapa.