lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Kwa formation ya 4-2-3-1TOA MAONI YAKO View attachment 1172814
Lampard atakuwa akibadilisha formation ili kutumia silaha zote alizo nazo kama akina Batshuayi, Barkley, Willian, RLC akipona nk
Mfano kwa formation ya 4-3-3 ataweza kuwachezesha Barkley/RLC na Mount pamoja nk
na kwa 4-4-2 ataweza kuwacheza Giroud/Batshuayi na Abrahama pamoja kule mbele
na katikati Jorginho, Kante , Barkley na Mount pamoja huku Jourginho ndie atakuwa mchezeshaji/register
na kwa 4-1-3-2 Kante kama DM na hao akina RLC, Mount, Barkley na ataweza kuwacheza Giroud/Batshuayi na Abrahama pamoja kule mbele nk

