Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata wabadilsihe keyword bado Chelsea ni timu kubwa na ndio maana wamejazana hapa kwenye jukwaa na strees zao za kuiogopa Chelsea, Kwa makombe Chelsea ipo juu, kwa pesa tupo juu, wivu utawamaliza tu!
Na huyu Ngwaba hata ushabiki wake hauendani kabisa na signature yake
Kinachonifurahisha huyo Ngwaba akishaona unamzidi facts au points anapotea kabisa anashindwa kutetea anacho amini. Sasa hapo unajua kabisa hakuna wanachotetea ila ni ubishi kuchangamsha genge. Sema tatizo ana waspoil vijana wa gunners na wao wanapata kichwa kwa sasa.
 
Lampard has been handed a triple fitness boost with N'Golo Kante, Willian and Antonio Rudiger all returning to full training ahead of Sunday OT visit.
 
Hata wabadilsihe keyword bado Chelsea ni timu kubwa na ndio maana wamejazana hapa kwenye jukwaa na strees zao za kuiogopa Chelsea, Kwa makombe Chelsea ipo juu, kwa pesa tupo juu, wivu utawamaliza tu!
Na huyu Ngwaba hata ushabiki wake hauendani kabisa na signature yake

Kwa Makombe mupo juu? 😀😀😀
AROON hebu tuekee idadi ya Makombe (Mpaka Mickey Mouse) yote Chelsea aliyonayo, Na uweke ya Arsenal yote aliyonayo.

Mimi Naanza na Liverpool:

1) Ligi 18
2) UCL 6
3) UEL 3
4) U Super Cup 3
5) FA 7
6) Carabao 8
7) Ngao 16

Jumla hapo ni Trophy 61
Nimehesabu Mpaka Mickey Mouse kwasababu ndiyo uwezo wa Chelsea Coz kwenye Makombe havuuki hata 7.

Huyu jamaa ninawasiwasi kuwa hajui hata idadi ya Makombe Chelsea aliyonayo ni Mangapi ndiyomana anabwabwaja kuwa yupo juu kimakombe!
Sijui anadhani Chelsea ina Makombe 100?
 
Cheki unavyo switch sides. Umeongelea most successful teams in EPL mkaitoa Chelsea ona upuruzi unaoleta sasa hivi.

Stay on your lane.

Vibonde wa London mpo? Kocha wenu mwanafunzi naskia kashawaambia muandae vifuatavyo.
1.oil chafu
2. Mafuta aina ya babycare au baby Johnson
3. Olive oil
4.grease
Maana jumapili mnachezea kichapo heavy. Tutawapiga hadi mchakae maana hatukwepeki msimu huu kama kifo lazma mliwe tu.
Kila la heri kaka lakini nakukumbusha kuwa unaenda vitani na unaenda kupambambana na mwanaume mwenzako kutoka magharibi mwa mji wa London tambua kuwa nayeye amejiandaa kama ulivyojiandaa wewe,mwisho nakukumbusha kuwa vita ni timingi na huwa havina macho.
 
Wakuu kuna kitu napenda kuwakumbusha fans wenzangu wa klabu chukiwa ndani ya JF. Nataka niwaambie tujiandae kisaikolojia kwa chochote kitakachotokea leo na mechi zijazo. Tutapata upinzani mkubwa sana kwa hawa majirani tulionao ila tambueni hali ngumu haidumu milele. Tambueni siyo kila siku tutashinda na siyo kila siku tutafungwa. Pia mtambue kufungwa siyo kushindwa, Arsenal anaweza akashinda mechi nyingi kuliko sisi ila mwisho wa msimu akashindwa kufanya chochote. Ili tuwe vizuri ni bora tusiwe na mategemeo makubwa ya kufanya vizuri msimu huu sababu kila mtu anaelewa hali tuliyonayo kwa hiyo lolote linaweza kutokea. Kikubwa ni kumaintain top four mengine yanaweza kufanyika kama priority hasa baadhi ya mashindano kuyawekea mkazo katika hatua za mwanzo tusije kutolewa mapema.

Kuelekea game yetu ya kwanza pale OT nasema hivi msimu huu tunaweza kuwashangaza wengi kwa kuanzia na Man Utd.

Karibu tuchambue game ya jioni ya leo.
 
Line up inaweza kuwa hivi 4-2-3-1

Kepa

Azpilicueta Christensen Zouma Emerson

Jorginho Kovacic

Pulisic Barkley Pedro

Tammy

Hapo kwa kuzingatia Rudiger, Kante & Willian hawana match fitness. Pia Barkley aanze then baadae apumzike kusubiri match ya Super Cup dhidi ya Liverfools nafasi yake ataingia Mount. Hapo sub zitakazofanyika hasa ni mbele anaweza kutoka Tammy akaingia Batshuayi.
 
Tumuombee dogo asipatwe na lile zimwi la jezi no 9. Kama itatokea na kwa huyu dogo basi inabidi ichukuliwe ikatupwe Zimbabwe istaafishwe na asije kuvaa mtu mwingine japo haya mambo wenzetu hawayaamini.
IMG_20190728_143651_565.jpeg
 
Cheki unavyo switch sides. Umeongelea most successful teams in EPL mkaitoa Chelsea ona upuruzi unaoleta sasa hivi.

Stay on your lane.

Hapa tulizungumzia ukubwa wa Timu Duniani kiasi ya kwamba tukawataja Barcelona na Real Madrid na wala hatukuzungumzia EPL pekee.
EPL hakuna Mkubwa that's why Man City kabeba Mara 2 mfululizo lakini nje ya EPL anaonekana sawa na Galatasaray
 
Wapinzani wa Chelsea ndo wanaotoka mapovu kuliko wenye timu yao imenipa mashaka kidogo kitu gani wanachoofia kwa Chelsea mpaka imefika hatua hiyo ikiwa hata game ijaanza waanza kuropoka kiasi hichi
 
W
Kwa Makombe mupo juu? 😀😀😀
AROON hebu tuekee idadi ya Makombe (Mpaka Mickey Mouse) yote Chelsea aliyonayo, Na uweke ya Arsenal yote aliyonayo.

Mimi Naanza na Liverpool:

1) Ligi 18
2) UCL 6
3) UEL 3
4) U Super Cup 3
5) FA 7
6) Carabao 8
7) Ngao 16

Jumla hapo ni Trophy 61
Nimehesabu Mpaka Mickey Mouse kwasababu ndiyo uwezo wa Chelsea Coz kwenye Makombe havuuki hata 7.

Huyu jamaa ninawasiwasi kuwa hajui hata idadi ya Makombe Chelsea aliyonayo ni Mangapi ndiyomana anabwabwaja kuwa yupo juu kimakombe!
Sijui anadhani Chelsea ina Makombe 100?
Weka na miaka
 
Wapinzani wa Chelsea ndo wanaotoka mapovu kuliko wenye timu yao imenipa mashaka kidogo kitu gani wanachoofia kwa Chelsea mpaka imefika hatua hiyo ikiwa hata game ijaanza waanza kuropoka kiasi hichi
Katika miaka 15, Chelsea imekuwa ni timu inayoogopwa sio tu England hata Europe. Hiyo ndio chanzo cha mapovu. Na ukumbuke timu ndogo huwa hata hakuna mtu anaijali, ila timu kubwa itzungumzwa kila kona na kufanyiwa fitina ya maneno sisi tuko kazini
 
Premier League 2019/20 Predictions: From Champions To Relegation
9 Aug 2019
  1. Manchester City - Champions
  2. Liverpool - 2nd
  3. Tottenham Hotspur 3rd
  4. Chelsea 4th
  5. Arsenal 5th
  6. Manchester United 6th
  7. Leicester City 7th
  8. Everton 8th
  9. Wolves 9th
  10. Watford 10th
  11. West Ham United 11th
  12. Burnley 12th
  13. Bournemouth 13th
  14. Southampton 14th
  15. Crystal Palace 15th
  16. Newcastle United 16th
  17. Norwich City 17th
  18. Aston Villa 18th and relegated
  19. Sheffield United 19th and relegated
  20. Brighton 20th and relegated
https://www.forbes.com/sites/bobbymcmahon/2019/08/09/premier-league-201920-predictions/#122bbc4f20e2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom