Hii ni ligi na hii ni mechi ya kwanza tu. Acheni miemko mpira Wa miguu ndivyo ulivyo. Angalau baada ya mechi 10 unaweza kusema kitu.
Na isitoshe hakuna mwenye uchungu na Chelsea kama yule anayeweka hela yake
The worst alikuwa ChristensenMmekosa bahati tu.
Nimependa pressing yenu.
Uyu zuma matatizo.
Tuko vizuri kocha amtoe Pedro kasi ya madogo imemzidi ,weka Pulisic hii ngoma tunaimaliza kabla ya dk 70.








Yani kututuswa 4 bila unasema mko vizuri? Ungetoa hata draw si mngesema mko mbinguni? ... kiri kuna tatizo, na tatizo kubwa tu lipo hapo kwa beki na huko mbele hamko aggressive wala si cha bahatiMashabiki wenzangu nguli msishituke na kipigo tulichopata TUKO ViZURI ,tumecheza Soka safi sana ,vitu vichache Vya kurekebisha ,pia tusisahau bahati haikuwa kwetu ,sibabaishwi na mashabiki wa team zilizogoma kuchukua vikombe ,blue is the colour




Hili linanifanya nijue nipo grp la fans wa chelsea...bila hata kusoma jinaLampard must go.
Man Utd hawajashinda kibahatiMashabiki wenzangu nguli msishituke na kipigo tulichopata TUKO ViZURI ,tumecheza Soka safi sana ,vitu vichache Vya kurekebisha ,pia tusisahau bahati haikuwa kwetu ,sibabaishwi na mashabiki wa team zilizogoma kuchukua vikombe ,blue is the colour
?Safu ya ulinzi na safu ya ushambuliaji ndizo zitaamua ubingwa kwa chelsea msimu huu.
Mkuu ulivyoangalia game unafikili kosa liko wapi?Hili linanifanya nijue nipo grp la fans wa chelsea...bila hata kusoma jina
in lampard we trustLampard must go.
whaaaatHii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.


