Liverpool bado atamsumbuaMan City atajinyakulia mara ya 3 mfululizo ubingwa wa epl maana njia ni nyeupe sana na hana hata mpinzani.
Hivi kuna Watu walikuwa wanajipa moyo kabisa kuwa Chelsea ataleta ushindani wowote ktk epl mwaka huu?
Hlf wenyewe wanakuambia tulimuuza Luiz sababu zouma yupo, teh teh tehChelsea beki zake zinamuangusha Sana msimu huu unaweza kuwa mbaya sana kwa Chelsea
Striker butu
Beki tatizo
It doesn't work that wayNawaza hapa............WHAT KLOPP WILL DO TO LAMPARD ON WEDNESDAY.
?Man U hana zaidi ya droo. Mimi nimejitokeza wazi tofauti na wengine hawa wanaozunguka
Kama ulinusa hiviHivi kwa ka kikosi kenu hako hata sare mtapata kweli?
Abrahamovich aiuze klabu kwa waarabu ili tujipange upya maana nilishaona jinsi alivyoichoka hadi kuokoteza makocha ubabaishaji ilimradi aaminishe washabiki bado anaipenda Chelsea
Tuna timu mzuri inaitaij malekebisho kidgo back line