DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hawajielewi....zouma maboko
Hlf wenyewe wanakuambia tulimuuza Luiz sababu zouma yupo, teh teh teh
Hlf wenyewe wanakuambia tulimuuza Luiz sababu zouma yupo, teh teh teh
Hao bado wana stress mkuu,,,,waache kwanzaYani kututuswa 4 bila unasema mko vizuri? Ungetoa hata draw si mngesema mko mbinguni? ... kiri kuna tatizo, na tatizo kubwa tu lipo hapo kwa beki na huko mbele hamko aggressive wala si cha bahati
Wasipojiangalia kwa timu zilivyojipanga wanashuka kweliLigi ikiisha kesho kuna mijitu itakuwa imeshuka daraja ...hahahaaaaaa
G
Huyo "nani sijui" anayo EPL,Europa,FA taja wachezaji wako waliobeba hayo makombe ,huyo Giroud muulize BAKU alikufanyaje,huyo Kepa anadaka Spain kipa wako muulize alishawai kudaka Germany lini? Tutaelewana tu
Acha kujipa moyo.. Jiandae kucheza championship tuLeo tarehe 11/8/2019 Chelsea FC tumepata pigo baya la mabao manne kwa nunge dhidi ya Manchester United Fc. Hili ni mwanzo wa funzo kuwa na uvumilivu na kujipanga zaidi katika mechi zijazo japo tumefungua ligi vibaya. Tuko pamoja wana familia, forever blues. God is Good, All is Well.
N
Taja team kwenye Epl ambayo haijafungwa 4 ,Chelsea ya Conte 2016 /2017 ilifungwa na vibonde Arsenal 3 bila Ikanyanyua ndoo EPL, goli 4 sio issue sana kinachotakiwa kurekrbisha makosa na kuendelea
Jifariji, mwisho wa siku Mtajikuta mnagombania kushuka darajaTumecheza vizuri na makosa vilevile yameonekana, tumekubali kushindwa ktk hii mechi ya Leo.
Nazani Lampard anatakiwa kubadilika kulingana na udhaifu wa Timu yetu ulipojificha.
Tuwe pamoja Mafans wa The Blues kwani mapambono bado yanaendelea....
Hongera kwa kukubali
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Mkuu wahurumie.Usiku mwema kwa hisani ya 4GView attachment 1178707
Acha usenge usenge huo cheltako ndo nn
Mimi hali yangu naielewa vizuri sijaeahi ku over expect kwamba nitapata matoneo mazuri. Kitakachotokea ndicho nachoshukuru, halafu nikisema tumecheza leo ni kwamba sijategemea kucheza vile leo sema matatizo ni km ya msimu uliopita kufunga na beki tu.Pole lkn tatizo unatanguliza ushabiki maandaz mbele ,unanikumbusha arsenal moja tulikuwa tunapiga Mpira kama mliopiga Leo ila tunafungwa kipumbavu, uzuri Wenger ni mwalimu ,mwisho wa siku top 4 anazama,
Ila kwa Chelsea ya mwaka huu ,huna CB mzoefu ,Zuma anacheza rafu ovyo, Christensen anakabia macho , rudiga majeruhi, sub tomori ,kidogo una kiungo maana hata mashambulizi umefanya mengi, ila forward huna.
Jiandaeni kisaikolojia