Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msimu ulioisha kwenye EPL
-
ALLISON RAMSES BECKER karuhusu goals 20 tu msimu mzima..

KEPA ANAZUBAAGA karuhusu goals 21 ndani ya mechi 10..
-
Msimu huu chelsea kushuka daraja ni suala la muda tu!

Kumbuka una jirudi na Abraham unataka wakupe 25+ goals hahhahahahahhahahahahah
 
EPL 2008/2009 season
José Manuel Pepe Reina Pàez + Edwin van de sar = €16.9 mil
Cleansheets : 41
-
EPL 2018/2019 season
Kepazia = €80 mil
Clean sheets : 14
-
Hivi ni kweli na sisi tunasingizia kubadilika kwa soko la wachezaji au Perez na vibaraka wake Athletic club de Bilbao wamejua kutulamba?View attachment 1169120
Hahhahahaaaaaaa
 
Msimu ulioisha kwenye EPL
-
ALLISON RAMSES BECKER karuhusu goals 20 tu msimu mzima..

KEPA ANAZUBAAGA karuhusu goals 21 ndani ya mechi 10..
-
Msimu huu chelsea kushuka daraja ni suala la muda tu!

Kumbuka una jirudi na Abraham unataka wakupe 25+ goals hahhahahahahhahahahahah
Hahaaaaa Leo nimefurahi
 
Mkuu liangalie vzuri gori la kwanza tulilofungwa kosa si la Luiz. Luiz alikuwa sehemu tofauti kabisa. Jamaa wa Red bull akapenetrate na kuruka katika aneo ambalo aliona upenyo wa kufunga. So Luiz alikuja amekimbia kumzuia lkn jamaa alikutana na mpira kabla ya Luiz. Ila before the kicking Luiz wasn't behind a scorer. He was far away from him
Ndugu ni mpira gani umeangalia, kona imepigwa, mfungaji karuka na Luiz hakufanya jitihada za kutosha kuruka nae. Luiz kavaa namba 30. Go and recheck again the corner
Untitled.jpg
 
Hujui unachoongea, na hata position ya wchezaji haujui ilivyokuwa. Luiz kabla ya Mpira kupigwa alikuwa amecover nafasi nyingine kabisa. Huyo aliyefunga alikuwa nafasi tofauti
Whatever the case, mfungaji katokea nyuma ya Luiz lakini Luiz alichokosea alisubiri mpira umpfuate, angeruka kuufuata mpira mfungaji asingepata nafasi ya kufunga. Ule mpira kwa 100% ulikuwa wa Luiz, nimeweka screenshot hapo na ukiangalia kwenye video ndio utaon a vizuri Luiz alikuwa more static than dynamic. Na tatizo kubwa la Luiz tangu Enzi za Conte ni uzito kwenye kuruka na kumanmark adui. Sarri alimvumilia ofcourse kwa sababu bado yeye ni great defender, anayofanya ni mengi mazuri ila one silly mistakes anazofanya zinafuta ule uzuri wake na ni sawa kwa sababu kama utacheza vizuri 90% halafu 10% ikasababisha timu kupoteza mchezo zile 90% hazina maana kabisa
 
Hapo namba 17 Kovacic ndiye mwenye mfungaji Luiz hayuko na huyo MTU kabisa
Screenshot_20190801-185823.jpeg
 
An old video is doing the rounds of Lille star Nicolas Pepe talking about how much he’d love to seal a transfer to Chelsea.

See below as the Ivory Coast international names the Blues as a club that makes him dream, and naming them as the only club in the Premier League he’d ever want to join.

Nicolas Pépé:

"My agent told me 4 clubs were interested in me. I asked him which ones and he said Napoli, Liverpool and Manchester United. I asked him which was the 4th one and he mentioned Arsenal. There and then I told him we're going to Arsenal" [Arsenal]
 
Hapo namba 17 Kovacic ndiye mwenye mfungaji Luiz hayuko na huyo MTU kabisaView attachment 1169582
Kwa hiyo Luiz alipaswa kumuacha tu kwa sababu Kovacic ndie alitakiwa kumkaba hata kama mfungaji alimfuata Luiz akamuovertake kuchukua mpira??. Football ingechezwa kwa mawazo yako magoli yangekuwa gunia tu kila mechi
 
Tatizo langu siyo hilo ila kumtupia lawama Luiz peke yake kwa jinsi move hiyo ilivyokuwa

Sijaona aliyesifia goli la Pedro. The scorpion kick View attachment 1168888
Hilo lilikuwa goli la kiufundi sana. na magoli kama haya yanatokea mara chache sana kwa wachezaji maalumu. Kwanza alivyochomoka hakuna defender alitegemea itakuwa hivyo
Tatizo hilo goli ni la preseason na kwa Pedro hana consistency kwa hiyo mara chache sana mashabiki wanamzungumzia Pedo. Anaweza akafurahisha preseason ligi ikianza akapotea
 
Tatizo langu siyo hilo ila kumtupia lawama Luiz peke yake kwa jinsi move hiyo ilivyokuwa
Kovacic sio mzuri kwenye defensive phase na sio wa kumtegemea. anarudi kusaidia tu. Mabeki wengine waliobaki sio wazoefu kama Luiz. Mashabiki, Kocha na management wanamtegemea Luiz
 
|| Pépé update || Pépé says he chose Arsenal due to the history of French players at the club as well as Unai Emery who knows him very well...

Hizo anazotoa ni sababu za kujustify maamuzi tu. He chose Arsenal because chelsea is on tranfer ban and he was eager to change club this season, hata kwenye AFCON aliwekwa benchi sana because he was unwilling to give 100% for his national team anaogopa majeruhi yangemkwamisha kuuzika
 
Rudiger na Zouma hawawezi kupair na hata wakicheza pamoja it cant be for long, ingekua zamani simply ningekwambia kwa sababu wote wawili ni namba 4.
Mtu wa kumrotate na eventually kumreplace Luiz ni Christensen, kama ulifuatilia his loan spell in germany na 2017/2018 season utakua unanielewa. unfortunately Sarri hajamtumia na imechangia kurudisha development yake nyuma, unakumbuka the way alivyokua anacheza conte alivyomtumia kuanzia august 2017 to march 2019(baada ya kuwa knocked uot na barcelona UCL)?
 
Hahaaaaa Leo nimefurahi
Mwanaume unaona raha kufurahishwa na mwanaume mwenzako.

Huu mjadala tushaufunga kitambo kwamba best goolie in EPL Allison, Kepa na Ederson kulingana na statistics. Nimekufurahisha kwenye fainali bdo kuna watu wanataka kufurahishwa zaidi. Teh
 
Mbona povu ,mm nimefurahi maneno ya HIGUITA , wewe povu la nini?

EPL inaanza soon , tutaelewana vzr , kwanini unitolee povu kisa kufurahi maneno ya Gwiji HIGUITA??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom