Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmekutana pipa na mfuniko

Ila mtakufa tu mna timu mbovu
Hii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.
 
Hii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.
Si mmekutana wote wabovu

Man u wapo wapo

Chelsea anakimbikimbia, beki hamna kitu
 
Early days....but Lampard was not ready to manage Chelsea. No experience at this level of football. Goals mbili za kizembe sana. Poor team selection. Chelsea will finish 6th at best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom