Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
Inasikitisha ,inasikitishaEarly days....but Lampard is a raw deal. No experience at this level of football. Goals mbili za kizembe sana. Chelsea will finish 6th at best
Inasikitisha ,inasikitishaEarly days....but Lampard is a raw deal. No experience at this level of football. Goals mbili za kizembe sana. Chelsea will finish 6th at best
Hii mechi na mchezo unvyochezwa unaweza kuilingnisha na mechi gani mkuu..Chelsea wako vizuri sana; wnafik golini wakiwa na very good plan.
Yani unaandika kama mtu anayekata roho teh tehNina imani na hawa madogo...tutulie the blues tutafanya vizuri tu
Show hii ni kwa hisani ya MASON MOUNT acha moto uwake ,tuko vizuri
MNA timu ambayo hata Portsmouth ni nzuri
Nabadili mawazo niliwapa nafas ya 10 ,sasa nawapa nafas ya 15
Eti Front 3 ni MOUT - ABRAHAM - PEDRO [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Nani leo nahamia hapa mpaka wiki imalize
Kwa Front 3 hiyo mukiingia Top 4 modes nipigeni Ban la Maisha 😀😀😀