Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari njema hii, tena amechelewa sana, ameifanya timu icheze bila malengo kwa muda wote aliokaa pale

Ubakize na maneno ya akiba mkuu.
Maneno haya ungeyatoa last season ningekuona shababi kweli.

Ancelotti kaja kwenu kawakuta mnambwela mbwela hamna lolote tangu alipoondoka Jose Mourinho.

Yeye amekuja na akaendelea na timu hiyohiyo aliyoikuta na kisha akapiga kazi na mkabeba makombe mawili EPL na FA.

Msimu huu mmeanza Chelsea wanashinda nusu Dozen tu.
Mabadiliko na Madudu yalianza pale baada ya Kocha msaidizi kutimuliwa na ndipo matokeo mabovu yalipoanza.

Ancelotti alishalaumu kuwa nafasi ya kumchagua kocha msaidizi apewe yeye kwa kuwa huyo ni msaidizi wake yeye na si msaidizi wa Roman.

Lakini hakuna lillofanyiwa kazi na matokeo yake akapewa mtu wa kusaidiana nae kazi ambae hakuwahi kukutana nae hapo awali.

Ancelotti amebeba ndoo ya ulaya mwaka 1989 akiwa mchezaji wa AC Milan na pia akabeba kombe hilohilo akiwa kama kocha wa aC Milan mwaka 2003 na 2007.

Pia ameshafundisha kikosi cha Milan kilicho na nyota wengi zaidi lakini kwa kuwa majukumu yoote alipewa na mmiliki basi aliweza kufanya kazi na Mauro Tassotti ambaye ni mtu aliyecheza nae mpira tangu enzi ya Safina ya Nuhu.
hata Mourinho aliambiwa ampange Shevchenko ambaye yeye alisema kuwa kwa mfumo anaoufundisha haoni nafasi ya Sheva lakini mmiliki alilazimisha tu.

Jiulize JOSE alitimuliwa, then CARLO nae katimuliwa.
Kuna nini hapa?
Mbona makocha wenye uwezo wanaondoka timu hii?
 



Mama mia .... .... .... ...
Ngo'mbe akiumia guu, urejea zizini.
Hakuna shida, kwani mi sina kwetu?,narudi nyumbani kwani tatizo nini? Najua nitapokelewa tu.Damu nzito kuliko maji bwana.
Kwanza team gani Coach huna full mandate una tegemea nini? Gunia la chawa.Team gani ushirikishwi katika maamuzi,una amka asubuhi una ambiwa "kuanzia leo huyu ndio atakuwa msaidizi wako,sawa?".
To hell, wacha nitambae zangu.Kwanza, nimeweka history, nimewapa the Double for the first time in the club's history.
Pili, nilikuwa kama mtumwa tu katika nchi ya watu.
 
kewanza wamechelewa sana kumfukuza huyu...kocha gani linakuwa zezeta halipiganishi timu bana..timu inacheza kama timu ya kombe la kinesi
 
Mkuu rutashubanyuma kwa heshima tunaomba usijaze hii thread ya Chelsea na post zako unazopaste kutoka kwenye magazeti. Kila mtu ana access na magazeti kupitia link husika hivyo ni kupoteza muda na kujaza nafasi kusikokuwa na tija, hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na sio sehemu ya kupaste mawazo ya wengine bila kutoa mchango wako. Endelea kupaste kule kwenye jukwaa lako la Manure maana ndio design yenu siku hizi, naona mnajaribu kuwaiga ndugu zenu wa Arsenil "the dopes" ambao ni mabingwa wa kupaste udaku!


kwani ni lazima usome!!!!
 
Chelsea have sacked manager Carlo Ancelotti after he ended his second season at the club without a trophy.

He was dismissed following the 1-0 loss to Everton, as the west Londoners finished second in the Premier League.

The 51-year-old had one more year left on his contract at Stamford Bridge.

A club statement read: "This season's performances have fallen short of expectations and the club feels the time is right to make this change ahead of next season's preparations."

Speculation had been mounting that Ancelotti would be sacked following Chelsea's first season without a trophy in three years.

They missed out in the Premier League as Manchester United clinched their 19th top-flight title last week, further compounded by exits in the Champions League, FA Cup and League Cup during the season.

The Blues, who were Premier League and FA Cup holders at the start of the campaign, finished nine points behind United and only ahead of third-placed Manchester City on goal difference.Ancelotti axed as Chelsea manager

_52895122_carlo_640.jpg
 
Chelsea club yangu huwa haina uvumilivu kabisa kuhusu makocha, mimi na baadhi ya washabiki watakubaliana kwamba tatizo kuu si makocha bali ni i uongozi wa club yenyewe, maswali machache tu:-

1. Nani aliamua kumnunua Torres? je kulikuwa na umuhimu wa ununuzi wake tena katikati ya msimu?
2. Nani aliamua kumfukuza kocha msaidizi? Je kuna jambo baya sana alilolifanya kumfukuza katikati ya msimu badala ya kusubiri msimu uishe?
3. Je kocha wa chelsea ana nafasi katika maamuzi ya manunuzi ya wachezaji / bei ya manunuzi / contract na mambo yote yanayohusu wachezaji?

Haya mambo na mengine mengi yataifanya chelsea kupata kocha mpya ambaye naye hatakaa, Kocha atakaye kaa zaidi kwenye Club atakuwa Roman mwenyewe, sababu yeye anajua kununua, kufukuza, kutoa au kutotoa pesa kwa club.

Kukubali kazi kama manager wa chelsea ni vigumu sana sababu unasign contract ya miaka 3 leo lakini unaweza kufukuzwa ndani ya siku 3.

Hebu tujikumbushe Makocha waliopita kwa Chelsea FC.


CARLO ANCELOTTI
Carlo moved to London in the summer of 2009 after eight seasons in Milan, and wrapped up an historic Double in his first campaign.


GUUS HIDDINK
2009 - 2009


LUIZ FELIPE SCOLARI
2008 - 2009


AVRAM GRANT
2007 - 2008


JOSE MOURINHO
2004 - 2007


CLAUDIO RANIERI
2000 to 2004


GIANLUCA VIALLI
1998 to 2000


RUUD GULLIT
1996 to 1998


GLENN HODDLE
1993 to 1996


DAVID WEBB
1993 to 1993


IAN PORTERFIELD
1991 to 1993


BOBBY CAMPBELL
1988 to 1991


JOHN HOLLINS
1985 to 1988


JOHN NEAL
1981 to 1985


Msishangae tukavuja record ya ulimwengu kwa kutimua makocha.
 
KUMEKUCHA!!!!..nani ataziba nafasi ya Ancelotti???
Abramovich reportedly wants Hiddink to head up a back room staff that includes former Ajax coach Marco van Basten and Chelsea hero Gianfranco Zola. If Van Basten comes on board Hiddink is expected to assume a role as director of football to help guide the young coach.

Kaa mkao wa kula...........
 
kewanza wamechelewa sana kumfukuza huyu...kocha gani linakuwa zezeta halipiganishi timu bana..timu inacheza kama timu ya kombe la kinesi

kigogo ni kweli usemayo, lakini pia kuna tatizo na Roman mwenyewe anachotaka ndicho hicho hicho kifanyike, kama usipofikia targets wewe ni fired tu, sasa uta fire wangapi? kwenye mpira kuna ups and downs. Kwa mantiki hiyo Wenger naye angetakiwa aonyeshwe njia lakini uongozi unatakiwa uvumilivu kiasi.

What if a new guy who is comming to take over the team won't perform which is posible then..!! fire again? is this a good phylosophy ? fire, fire fire!!!

duh....
 
Abramovich reportedly wants Hiddink to head up a back room staff that includes former Ajax coach Marco van Basten and Chelsea hero Gianfranco Zola. If Van Basten comes on board Hiddink is expected to assume a role as director of football to help guide the young coach.

Kaa mkao wa kula...........

Giro, Hiki cheo cha u director of football ndiyo kilisabablisha matatizo yote mpaka Jose Kuondoka, Mipaka yao katika utendaji wa kazi inakuwa ngumu kujulikana moja kwa moja. Unapomwondolea madaraka kocha mkuu unatafuta mgogo mwingine, ndiyo kilichotokea chesea wakati Avram mkurungezi wa michezo.

Kwa ku install Director of football kwenye club basi Kocha anatakiwa kuriport technical issues kwa huyu jamaa, sasa kama jamaa ni zezeta na tena rafiki wa mmiliki wa club sasa hapo kazi inakuwa ngumu, akina Sir Fuggie na Wenger wamekaa kwenye timu sababu hakuna mambo kama haya, Manager lazima aaminiwe na club na apewe mamlaka yote na hapo kazi inakuwa tamu na mafanikio yanaonekana.

Wamiliki wa Clubs wakae pembeni - na kama wana issue basi wafuate mtiririko yaani board ndiyo iamue na si vinginevyo.
 
Makocha ni

1. Jose Mourhino

2. Guus Hiddick

3. Andre Villas-Boas
 
Roman afanya zengwe SAF astaafu MANU otherwise atabadilisha makocha kila siku,binafsi wachezaji wanastahili sana lawana kuliko kocha.Lampard,Anelka,Kalou,Essien,Malouda,Mikel na wenzao walicheza chini ya kiwango
 
...R.I.P Acheni Lotte, you will be deeply Missed kipande hii! :doh::A S-cry::disapointed:
 
Roman afanya zengwe SAF astaafu MANU otherwise atabadilisha makocha kila siku,binafsi wachezaji wanastahili sana lawana kuliko kocha.Lampard,Anelka,Kalou,Essien,Malouda,Mikel na wenzao walicheza chini ya kiwango


Well said Belo!
Hawa wanazi wa Chelsea eti nao wana support Acheni Lotte kufukuzwa,

Drogba, Essien, Malouda et al wamefanya nini msimu huu?

"Those who win the games are those on the football pitch and not those who talk in the stands." - Arsene Wenger

Kwani Acheni Lotte ndio aliyemtaka To-Rest? To-Rest mwenyewe ana gundu tangu Liverpool,
yaani tangu January mpaka May kafunga kagoli kamoja tuuuu! he he he eti £50m!!!
 
Guus Hiddink would consider full-time manager's job at Chelsea

• Dutchman's agent said he would not rule out return
• Chelsea may have to wait until November for Turkey manager





  • Press Association
  • guardian.co.uk, Monday 23 May 2011 12.16 BST <li class="history">Article history
    Guus-Hiddink-007.jpg
    Guus Hiddink celebrates winning the 2009 FA Cup final with Chelsea. Photograph: Tom Jenkins for the Guardian

    The agent of Guus Hiddink has refused to rule out the Dutchman returning to club management amid reports he is the No1 target to succeed Carlo Ancelotti at Chelsea.
    However, Cees van Nieuwenhuizen warned the earliest Hiddink would currently be available would be October as he would not break his contract as the manager of Turkey.
    There had been suggestions that Hiddink was opposed to returning to club management, with the 64-year-old more interested in becoming a sporting director. But pressed today over whether that was definitely the case, Van Nieuwenhuizen said: "I don't know that you can say that.
    "He is focusing on his job and he likes what he is doing. He said also in his column on Saturday in De Telegraaf, the Dutch newspaper, that as long as he is in the race for the European Championship with Turkey, he would continue to focus on that.
    "Once that is finished, he will start thinking about his future."
    Hiddink, who won the FA Cup as caretaker manager of Chelsea in 2009, is contracted to Turkey until the end of Euro 2012 but will leave his position immediately if they fail to qualify. They currently lie third in Group A and face a crucial match with second-placed Belgium on 3 June.
    Defeat would leave them four points away from a play-off spot with four games remaining and it is possible that he could be sacked.
    The Turkish Football Federation recently said they would not look favourably on an approach for Hiddink, meaning Chelsea could be faced with the dilemma of waiting for him to become available &#8211; and appointing an interim manager &#8211; or looking elsewhere.
    Van Nieuwenhuizen said: "I think that Chelsea have to make a decision in the shorter term rather than waiting until November." They would also need to establish for certain whether the Dutchman would prefer to move into a sporting director role.
    If so, they face competition from Ajax and PSV Eindhoven, with Ajax having already approached Hiddink about taking a place on their board.
    "Johan Cruyff has also already spoken to him a couple of times in the last couple of months, because Johan is right now restructuring at Ajax," said Hiddink's agent. "He has been saying: 'Maybe we can do this together.'"
    Hiddink revealed in his column on Saturday that he was still acting as an adviser to the Chelsea owner, Roman Abramovich. Van Nieuwenhuizen said: "I know that he has a very good relationship with some people at Chelsea and that he is every now and then talking to Roman Abramovich &#8211; but more out of a friendship that was based on the months that they spent together."
    Van Nieuwenhuizen insisted he knew nothing of reports Hiddink had recommended Marco van Basten to Abramovich as an alternative to himself as manager but confirmed the Dutchmen were in touch. "They meet each other every now and then," he said.
    That was backed up by Van Basten's agent Perry van Overeem, whosaid: "They know each other well. But it's a professional relationship."
    Van Overeem confirmed there had been no approach from Chelsea for his client, who has been out of work since leaving Ajax two years ago and is currently mulling over more than one offer to return to the game.
    The other name featuring prominently in the speculation as a potential successor to Ancelotti is Porto's Andre Villas-Boas. The 33-year-old distanced himself from moving to Stamford Bridge after winning the Europa League last week and he reportedly has a &#8364;15m (£13m) release clause in his contract.
    Meanwhile, it is understood Ancelotti was told of his fate in thevisitors' dressing room at Everton on Sunday. Some reports suggested that he was sacked in the tunnel by Chelsea's chief executive, Ron Gourlay, but this appears not to have been the case.
    Ancelotti travelled back with the squad from Goodison Park before saying his farewells at the club's Cobham training base and then went out for the evening with a few senior players and members of staff.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom