Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

makocha watawaleta lakini timu itaendelea kufungwa tu hadi pale utaalamu utakapoheshimiwa na mmiliki wa klabu...........
 
Rutashubanyuma Mkuu uliombwa usi-flood hii thread na miposti yako ya kwenye magazeti! Huku ni wajanja kila mtu anajua pakupata hizo habari naona umegoma kuelewa!
 
Wakuu,

Binafsi sintapenda Jose arudi tena chelsea kwa sababu phylosophy ya chelsea (Roman) ni kucheza mpira wa ushindi na wenye kuvutia, Kasi na pasi fupi fupi za haraka.

Morinho kilichomuondoa chesea ni kwamba hakuweza kufanya hivyo, yeye alitumia defensive game na pass ndefu kwa drogba na kupachika mabao, of cause tulikuwa mabigwa misimu miwili mfululuzo lakini Club ilihitaji zaidi ya mafanikio hayo na ndiyo mwanzo wa kiongozi huyu kutimuliwa.

Sasa leo akija ataweza kutimiza hayo? nafikiri tunahitaji kocha mwenye kufundisha mfumo tofauti ukizingatia timu nyingi zinajizatiti hasa Liverpool na City kwa hiyo ligi msimu ujao itakuwa ngumu mno.

Mbali na hayo yote Roman naye pia ajirekebishe, pesa si mafanikio bali ni mikakati na ushirikiano mzuri kati ya uongozi wa juu, benchi la ufundi na wafanyakazi wa club kwa ujumla wao.
 
Code:

Haya unayoyaongelea ni maoni yako ambayo hayajapitia taarifa muhimu khusu Mournhio kuondolewa Chelsea...........suala halikuwa namna ya kucheza bali migongano ya nafasi ya mkurugenzi wa timu na usajili wa wachezaji ambao kocha hakuwataka lakini mmiliki wa timu aliwahitaji................sasa nimefahamu kwa nini hamtaki yaliyomo kwenye magazeti na ndiyo maana mnanipiga vita kwa kutumia uhuru wangu kuhabarisha na kuwauumbua mnapojitungia taarifa zeni na kuzikuza kama ni ukweli vile..............
 
Code:
Sasa kama unajua kwamba 98% ya yanayojadiliwa yanatoka kwenye magazeti  kwanini unarudia tena kujaza hapa jamvini magazeti hayohayo ambayo  unajua kabisa tumeshayasoma?!!!! [COLOR=red]Na kibaya zaidi unaonekana una tatizo  la kupost hizo paste zako, maana umekuwa ukipaste mara mbili, tatu au  hata nne the same story![/COLOR] You're full of repetition with worthless posts!  Now, it's you who need to grow up!

Hiyo kwenye nyekundu ndiyo ishu.........................tatizo siyo langu ni la JF.........hata mimi hushangaa kwa nini posts zinajirudia rudia mara mbili wakati mwingine lakini hilo jingine liko nje ya rules.............................na haifai mtu mmoja abanwe na non-rules wakati wengine hawabanwi nazo.....................................huu uzi tangia uanzishwe wako wengi wanabandika makala za magazetini lakini sioni lawama zikielekezwa dhidi yao..............................JF itapoteza maana kama baadhi mtaweka masharti ya kupashana habari mmuonavyo wenyewe..............na sisi wengine tuna maono tofauti.......................kwa hiyo tuvumiliane..................mkileta udikteata mtabaki wenyewe..........................kama kuna posts huzipendi...........................ni kuachana nazo..................................humu ndani kuna posts nyingi zinaniboa hasa kwa kupotosha ukweli lakini siwezi kuwaziba midomo wahusika wasijiuumbue na uongo wao.............
 
Code:
Ungekuwa smart ungefanya a simple analysis ya threads zako zote  ulizoanzisha kwenye jukwaa la sports na kugundua kitu. Umeanzisha  threads nyingi sana kwa mtindo huu wa copy-paste lakini hakuna hata a  single reply [COLOR=red](mfano mzuri ni ile uliyojaza pasted video clips kwenye  page 50.....madness!![/COLOR]).
Tatizo lako wewe ni upeo mdogo na hakuna utafiti wowote ule ambao umeufanya juu ya uzi zangu nyingi sasa nionacho ni wivu tu unakusumbua hebu pitia kwanza halafu useme kama kweli hazina wachangiaji....................lol. Ama kweli kumbe baadhi yenu mna madongo tu ya wivu yanawasumbua.................................kwenye video clips unachangia nini?..................aidha unaziangalia au huziangalii.that is all.............

Lingine ni kuwa kuchangiwa kwa uzi au kutochangia hakuna maana kulingana na JF rules ili mradi anayetaka kuzisoma anaendelea kuzisoma.......................na yule anayezituma ameridhika na mchango wake............................kubwa hakuna kanuni iliyovunjwa....................JF inaongozwa na kanuni siyo matashi ya baadhi ambao taarifa zao nyingi humu ni ubabaishi tu na wala hawasomi taarifa sahihi zilizomo magazetini...................kama ni madness wewe inakuuma nini? Nikiwa mad sijui wewe utakuwaje..............
 
Tatizo la Chelsea siyo kocha ila ni mmiliki...Abramovich anapaswa kuwaachia wataalamu waendeshe timu na aache kuwaingilia katika kununua wachezaji..........................ununuzi wa Schechenko na Crespo.................ulisababisha Mourinho kuachia ngazi.....................those are facts na wala siyo jinsi ya staili ya Chelsea walivyokuwa wakicheza...........

Chelsea confident of tempting Guus Hiddink to replace Carlo Ancelotti

• Hiddink has one year remaining on contract with Turkey
• Dutchman's agent says he would consider club management

  • Dominic Fifield
  • guardian.co.uk, Monday 23 May 2011 22.31 BST <li class="history">Article history
    Guus-Hiddink-has-been-tar-007.jpg
    The Dutchman Guus Hiddink could return to Chelsea, where he won the FA Cup in 2009. Photograph: Ian Kington/AFP/Getty Images

    Chelsea are quietly confident they will be able to prise Guus Hiddink from the Turkish Football Federation and may even persuade the Dutchman to succeed Carlo Ancelotti as manager rather than take the director of football role he might instinctively favour.
    The decision to sack Ancelotti, effectively taken following elimination by Manchester United in the Champions League quarter-finals last month, has left Roman Abramovich seeking his seventh head coach in eight years and, with his options relatively limited, has prompted the oligarch to go down a familiar path. Hiddink enjoyed a three&#8209;month spell as caretaker manager at Stamford Bridge in 2009 which brought 34 points from 13 games, an FA Cup and a controversial exit from Europe to Barcelona. He has since acted as an adviser to the club on an ad hoc, unpaid basis.
    The 64-year-old Dutchman is tied to the Turkish national set-up until Euro 2012 and has traditionally been reluctant to break contracts. However, Turkey lie third in Group A with a trip to the second&#8209;placed Belgium next Friday and, even if that qualifier is won in Brussels, there remains the possibility they would accept him leaving if compensated by Chelsea. Although Turkey retain hope of reaching the 2012 finals &#8211; they could be involved in the play-offs as late as November &#8211; there is an undercurrent of frustration that Hiddink's appointment has not had the anticipated impact in terms of results and integration of younger players into the first team.
    There had been suggestions that Hiddink, whose past three permanent positions have been with national federations, might be unwilling to return to club management on a full-time basis, though that stance is understood to have shifted. "I don't know that you can say that [he would not consider a club job]," said his agent, Cees van Nieuwenhuizen. "He is focusing on his job and he likes what he is doing. As long as he is in the race for the European Championship with Turkey, he would continue to focus on that. Once that is finished he will start thinking about his future."
    Chelsea would be reluctant to wait until the autumn for Hiddink to become available, but there is conviction within the hierarchy at the club that they could yet secure the Dutchman's early release. They would ideally like him to take on a role for at least one season. There is recognition that a summer of upheaval awaits on and off the pitch, with the logic clear in placing such an experienced figure in charge to oversee the anticipated changes.
    The formersporting director Frank Arnesen and head scout Lee Congerton officially began work at Hamburg on Monday, some 24 hours after the departure of Ancelotti and his assistant, Bruno Demichelis, had been confirmed, with four or five senior players expected to move on over the course of the summer. Galatasaray have been linked with Didier Drogba, who has a year to run on his deal at Stamford Bridge.
    Chelsea would like to lean on a figure such as Hiddink, who had such a galvanising effect on the club in 2009, during that process. There would potentially then be scope to bring in a younger coach &#8211; Marco van Basten has been mentioned, as has CSKA Moscow's Leonid Slutsky &#8211; to work under the veteran.
    Alternatively, coaches such as the impressive André Villas Boas, or even Pep Guardiola, may be more readily available in the summer of 2012, allowing Hiddink to move into a sporting director role once his year in the dugout had been completed.
    Ancelotti, who met the chief executive, Ron Gourlay, within an hour of the final whistle at Goodison Park on Sunday to be informed that he was to be relieved of his duties, spoke with his squad to thank them for their efforts before flying back with the team that evening. He joined a number of senior players &#8211; John Terry, Frank Lampard and Ashley Cole among them &#8211; by visiting a bar in Chelsea that night and was briefly at the training ground on Monday to begin clearing his office. Meetings are anticipated over the course of the week to discuss a compensation settlement for the final 12 months of his three-year contract.
 
Yaelekea Abrahamovich hataki kujifunza kuwa kuwa na fedha hakumaanishi ya kuwa una vipaji vya kusimamia soka...............anarudia makosa yaleyale ya kuwaingilia wakufunzi na wataalamu wa timu yake.....................Chelsea itaendelea kupata maumivu hadi hapo jamaa huyu atakapoachia ngazi..............................................au kujirekebisha............................hata kumfukuza kazi Anceloti kwenye kiambaza hata kabla hajarudi nyumbani yaonyesha kutoheshimu mchango wake na kumvunjia heshima pamoja na msimu uliopita aliwaletea kombe la ligi......................na FA........................kweli tenda wema nenda zako..................

Roman Abramovich rips up his empire and begins from scratch at Chelsea

The club's rivals are the big winners every time their owner sacks his manager and starts all over again

  • Changes-of-manager-at-Che-007.jpg
    Changes of manager at Chelsea, dictated by Roman Abramovich, have not brought the club the prize of the Champions League. Photograph: Ian Walton/Getty Images

The Goodison Park stairwell where Carlo Ancelotti was reportedly sacked is a warm and friendly part of the ground, where veteran doormen in blazers exchange pleasantries with old school Evertonians and Bill Kenwright, the club's chairman, floats through dispensing bonhomie.
It is a place, in other words, of decorum and permanence and not the kind of area where a thoroughly capable manager would expect to be dispatched moments after being allowed to say, in a post-match press conference, that a meeting would be held next week to discuss his future. Ancelotti was fired like a junior accountant who had been caught fiddling the Christmas party fund and made to travel back to London like a pariah.
At least West Ham United, who dismissed Avram Grant in the tunnel, could cite relegation as the natural full stop at the end of their manager's Upton Park career. Only 12 months had passed since Ancelotti scored Chelsea's first Premier League and FA Cup Double.
The early termination of his three-year deal at Stamford Bridge was handled in a manner that will make all future managers wary of Ron Gourlay, the Chelsea chief executive who did his master's bidding. In wielding the axe so swiftly Gourlay either has no sense of etiquette or is too weak to stand up to Abramovich, who might have been persuaded to wait until Monday morning at least.
One of Abramovich's failings is to misunderstand the connection between boardroom behaviour and the tone set in and around a football club. In reality Ancelotti was discarded by degrees. He was knocked to the ground when his No2, Ray Wilkins, was sacked by the owner and given a kick when Abramovich bought Fernando Torres for £50m and forced the manager to play him ahead of Didier Drogba &#8211; not by edict, necessarily, but certainly by implication.
The surest sign that Ancelotti knew his time was up came at the Premier League title decider at Old Trafford, when he left Torres on the bench and started with Drogba in Chelsea's best formation: 4&#8209;3&#8209;3. This defiance failed to halt Manchester United's march to a 19th English championship but it reminded the rest of football that the former Milan coach knew what he was doing.
The charge of passivity against Ancelotti is well-founded. From the moment Wilkins was culled he looked a passenger on his own ship. The arrival of Torres snuffed the managerial life out of him. He was caught between Abramovich's meddling and the listlessness of a side who had always corrected bad spells of form in the past.
It is true Ancelotti seemed dazed but it was Abramovich who caused the change, reacting with his usual autocratic clumsiness to a mid-season slump of the kind Ancelotti will have come through many times in Milan. Again the disconnect in the Chelsea owner's mind is between cause and effect. Managers who are undermined from above are weakened in the eyes of players and start making political calculations about their own future when they would prefer to be planning two or three seasons ahead.
Since Abramovich decided he was a professor of the game he has dispensed with Claudio Ranieri, José Mourinho, Avram Grant, Luiz Felipe Scolari and now Ancelotti. Guus Hiddink, who is being tipped to return, was only a caretaker in 2009. So the prevailing culture in the Chelsea dressing room has lurched from Italian to Portuguese to Israeli to Brazilian to Dutch back to Italian and maybe now on to Dutch again. The Bridge is about to welcome its seventh manager in eight years.
Each upheaval brings new practice methods, new relationships at the training ground, different managerial likes and dislikes and often an altered tactical approach, all of which the players must learn. Chelsea's senior players have been unusually resilient in the face of these repeated culture shocks but must be reaching the point where their powers of adaptation are stretched to twanging point.
This instability is now built into the system. Speculation about Ancelotti's job started with the winter of discontent and intensified the moment they were knocked out of the Champions League &#8211; Abramovich's obsession. Each manager joins knowing that failing to win the European Cup is grounds for dismissal, and dismissal usually comes before the manager has had sufficient time to impose his vision of how the European Cup can be won.
The brutality and shallowness of Abramovich's decision-making is now causing serious offence among Chelsea's supporters, who compare their club with Manchester United (their closest rivals) and ask whether their benefactor understands the nature of football empire building. With advisers feeding him the latest wisdom, he veers from one guess to the next, doling out huge compensation payments to men who turn out not to have been the answer after all.
To avoid the slow death Ancelotti might have stomped out with Wilkins, on principle. But the top managers will tell you a reluctance to resign on a point of order is often rooted in a sense of responsibility to one's staff. When the head coach goes half a dozen others go with him. Aside from craving his own £6m pay-off Ancelotti will have wanted to protect appointees who will now join him on the jobs market.
United and the Premier League's other top clubs are the big winners each time Abramovich rips it up and starts again. He is a child of Soviet power, which was always loaned, never given.
 
TImu haiwezi kujengwa kwa utani utani wa namna hii......................money is not necessarily equal to football pitch success.............

Since Abramovich decided he was a professor of the game he has dispensed with Claudio Ranieri, José Mourinho, Avram Grant, Luiz Felipe Scolari and now Ancelotti. Guus Hiddink, who is being tipped to return, was only a caretaker in 2009. So the prevailing culture in the Chelsea dressing room has lurched from Italian to Portuguese to Israeli to Brazilian to Dutch back to Italian and maybe now on to Dutch again. The Bridge is about to welcome its seventh manager in eight years.
 
Chelsea's Massive Summer Overhaul... Didier Drogba, Salomon Kalou, Jose Bosingwa, Michael Essien, Nicolas Anelka, Yuri Zhirkov All Out... Targets Including Brazilian Woundr Kid Neymar, 'The New Drogba' Lukaku, Kaká, Modric, Sergio Agueiro, Nigel De Jong
 
Drogba Bado Mzuri, Sema His Best Days Are Behind Him + He's 33 Ths Year.. Wangemuuza Lampard Pia Maanake Sione Umuhimu Wake And I Think Yuko Overated Sana..
 
Code:
Sasa kama unajua kwamba 98% ya yanayojadiliwa yanatoka kwenye magazeti  kwanini unarudia tena kujaza hapa jamvini magazeti hayohayo ambayo  unajua kabisa tumeshayasoma?!!!! [COLOR=red]Na kibaya zaidi unaonekana una tatizo  la kupost hizo paste zako, maana umekuwa ukipaste mara mbili, tatu au  hata nne the same story![/COLOR] You're full of repetition with worthless posts!  Now, it's you who need to grow up!

Hiyo kwenye nyekundu ndiyo ishu.........................tatizo siyo langu ni la JF.........hata mimi hushangaa kwa nini posts zinajirudia rudia mara mbili wakati mwingine lakini hilo jingine liko nje ya rules.............................na haifai mtu mmoja abanwe na non-rules wakati wengine hawabanwi nazo.....................................huu uzi tangia uanzishwe wako wengi wanabandika makala za magazetini lakini sioni lawama zikielekezwa dhidi yao..............................JF itapoteza maana kama baadhi mtaweka masharti ya kupashana habari mmuonavyo wenyewe..............na sisi wengine tuna maono tofauti.......................kwa hiyo tuvumiliane..................mkileta udikteata mtabaki wenyewe..........................kama kuna posts huzipendi...........................ni kuachana nazo..................................humu ndani kuna posts nyingi zinaniboa hasa kwa kupotosha ukweli lakini siwezi kuwaziba midomo wahusika wasijiuumbue na uongo wao.............

Tatizo ni wewe mwenyewe chief, sio JF kama unavyotaka tuamini. JF wamekupa option ya kuedit posts zako, which means you can do a lot including deleting unwanted post/s....play your part.
 
Code:
Ungekuwa smart ungefanya a simple analysis ya threads zako zote  ulizoanzisha kwenye jukwaa la sports na kugundua kitu. Umeanzisha  threads nyingi sana kwa mtindo huu wa copy-paste lakini hakuna hata a  single reply [COLOR=red](mfano mzuri ni ile uliyojaza pasted video clips kwenye  page 50.....madness!![/COLOR]).
Tatizo lako wewe ni upeo mdogo na hakuna utafiti wowote ule ambao umeufanya juu ya uzi zangu nyingi sasa nionacho ni wivu tu unakusumbua hebu pitia kwanza halafu useme kama kweli hazina wachangiaji....................lol. Ama kweli kumbe baadhi yenu mna madongo tu ya wivu yanawasumbua.................................kwenye video clips unachangia nini?..................aidha unaziangalia au huziangalii.that is all.............

Lingine ni kuwa kuchangiwa kwa uzi au kutochangia hakuna maana kulingana na JF rules ili mradi anayetaka kuzisoma anaendelea kuzisoma.......................na yule anayezituma ameridhika na mchango wake............................kubwa hakuna kanuni iliyovunjwa....................JF inaongozwa na kanuni siyo matashi ya baadhi ambao taarifa zao nyingi humu ni ubabaishi tu na wala hawasomi taarifa sahihi zilizomo magazetini...................kama ni madness wewe inakuuma nini? Nikiwa mad sijui wewe utakuwaje..............

OK boss! Ahsante kwa "mchango" wako! Nimepitia ndio maana nikasema....hahahahahahahaaaa eti upeo mdogo na wivu, kazi kweli....yaani wivu kwa sababu wewe unacopy na kupaste kazi za watu wengine, there's zero brain in doing so, all you need is just copy-paste....your really problem is to swallow everything that are thrown your way by the media in the name of "news", try to be a bit analytical and don't rely on the journalists views.
Just for the record, I will never wish to be in your position.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom