...and the count goes on! Sijui niwape pole, au hongera ya kumfukuza?
Muajirini Rafa Benitez au Avram Grant basi.....lol!! Makocha saba ndani ya miaka saba kweli hamtaki mchezo, hamkawii kuja kumfuata SAF sasa.
Nadhani Roman anamtaka Hiddink as well, swali ni will he swap Turkish National team job for Chelsea's hot seat?Hao wote wawili sio level ya Chelsea, watafukuzwa kabla ya Xmas. Nina hisia huenda Hiddink akarudi.
Alitutengenezea $50m swaaaafi kwa Nando. Tutamkumbuka kwa hilo deal. YNWA.