lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Case ya Luiz na Barkley ni moja lakini Luiz anayo zaidi hata wakati wa Conte alisababisha timu ikabugizwa magoli mengi na AS Roma. Mimi naona apewe Andreas Christensen zaidi ili akomae bado ni mdogo kasi na concentration yake ni kubwa kuliko ya LuizBinafsi hata mimi naona Christensen anastahili kunza mbele ya Luiz. Huyu jamaa ana miez 6 hajacheza for now bado hajawa fit kuanza kila match.
Kwa Barkley bado naona ana uhai zaidi ya Kovacic
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kovacic na Barkley, kocha aendelee kuwa interchange mpaka apate nani anafaa kwenye starting XI