Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo maana ya timu kukamilika kwako ni ipi? Kwa kuwa inawezekana timu zingine zote zikakamilila ila Liverpool isikamilike

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonesha Hujanifahamu! Mimi sizungumzii Kwamba Chelsea Wachezaji Wake Wote Ni World Class! Hapana!
Point yangu inareflect kwenye post Ya Kwanza Niliyoiquote.
• Klopp Kapewa Timu atengeze Kwanza Ndiyo ailetee Mafanikio.
• Lakini Sarri Hakupewa Timu ya Kutengeza! Bali kapewa Timu imekilamilika alete Mafanikio Moja kwa Moja! Yani akifeli Season Moja tu Basi Anakuwa Pressurized.

• Ni sawa na Arsenal! Mshabiki wowote Wa Arsenal atakaeta Mafanikio Kwa Msimu huu Huyo Ni Mwendawazimu! Hile Timu Ni sawa na Liverpool aliyoikuta Klopp! Emery anatakiwa apewe Muda aitengeza Upya Hile Timu Kikosi Kizima.
 
Maelezo marefu bila kujibu swali la msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20180827_095705_179.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
After the Blues' 2-1 win over Newcastle, Worrall said: "If Sarri is prepared to drop Ross Barkley for Mateo Kovacic, he should drop Luiz for Christensen.

"If he's really obsessed with the experience thing, then bring on Gary Cahill.

"I like Luiz, but his lapses of concentration are a frequent liability which override his ability to play the ball out.

Binafsi hata mimi naona Christensen anastahili kunza mbele ya Luiz. Huyu jamaa ana miez 6 hajacheza for now bado hajawa fit kuanza kila match.

Kwa Barkley bado naona ana uhai zaidi ya Kovacic

Siamini kama Barkely ana uwezo kumzidi kovacic , naona kova anaoffer vitu vingi zaid kama kukaba, kupiga accurate passes na pia kupunguza presha ya timu pinzani, luiz pia anaongeza uhai zaid kwenye midfield

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hata mimi naona Christensen anastahili kunza mbele ya Luiz. Huyu jamaa ana miez 6 hajacheza for now bado hajawa fit kuanza kila match.

Kwa Barkley bado naona ana uhai zaidi ya Kovacic

Sent using Jamii Forums mobile app
Kovacic anakupa vitu viwili kukaba na kushambulia
Baklay anakupa kimoja tu kushambulia

E&K
 
Commentary ya wakati wa mechi wamesema Manchester City walishawahi kufikia percentage kama hizi...sikusikia vyema ni ngapi waliongelea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mechi ya April 2018 kati yake na Swansea City

Passing 942
Possession 83%

Chelsea against Newcastle

Passing 914
Possession 81%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom