Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu kumbuka hatuko ligi tu ..kuna Europa, carabao, Fa na kuhakikisha msimu ujao tupo Uefa kwahiyo baka anaweza pata gemu zake apo
Kuna Barkley, Drinkwater, Fabregas, Loftus Cheek...Bakayoko anaweza kwenda tu kwa kweli.
 
Kuna Barkley, Drinkwater, Fabregas, Loftus Cheek...Bakayoko anaweza kwenda tu kwa kweli.

Timu hii sio mbaya.
Cha msingi focus iwe UCL na EPL crowns na sio sijui FA au Carabao ambayo ndio makombe ya mbuzi ambayo yalimponza Wenger na Arsenal.
Carabao na FA ni makombe ya kuwaachia the likes of Huddlesfield Town, Wolves na Exeter
 
Huu usajili wa hwa madogo Joginho na Kepa sina mashaka nao mpaka sasa
kepa bado sana anafanya alot of mistakes,landa tusubiri anaweza kuja kuwa kama de gea....but for now sio wakumpa asilimia mia ya kumuamini golini.
 
Mchezaji yoyote kwa nafasi ya midfilder ambaye anacheza a long side na Kante na bado akaonekana hajui huyo ni garasa wa kutupwa
Bakayoko ana potentials ukikumbuka he is just 23. Chelsea sasa hivi haitaki mambo ya Lukaku, Dr bruine na Salah yajirudie
 
Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.

Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.
 
Kama kante akicheza kwa mfumo huo basi ataweza funga goli nyingi sana

Wakuu Samahanini Naomba Kuwauliza!!! Inamana Matokeo Ya Jana pamoja na Goli la Kante Ndiyo Mumesha-judge msimu Mzima itakavyokuwa! si Ndiyo?

Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.

Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom