OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kante na jorgino apo kati watachezaje? au ndo kantejorg



Hawashindwi...kama walivyocheza juzi.Kante na jorgino apo kati watachezaje? au ndo kantejorg![]()
![]()
Hapa ni wasiwasi na Luis tu. Sometimes hayupo makini
Mwanangu mpaka amevunja glas kwa furaha..hiyo penat ina maudhi yakeKuna penalty zingine zinatia hasira. Mwenye penalty ya Jorghinho aweke hapa tafadhali
Kuna penalty zingine zinatia hasira. Mwenye penalty ya Jorghinho aweke hapa tafadhali
Kitu gani hujapenda?Tumeanza vizuri ..japo sjapenda jinsi timu inavyocheza.
Huyu jamaa abebeki, ila umeona kazi za Jorginho?Morata apelekwe mkopo january
Jorginho anajua sana, kante leo kakipiga namba ngap?Huyu jamaa abebeki, ila umeona kazi za Jorginho?
Kante leo kawa more attacking , Jorginho ndio alikuwa nyuma yake.. Nafikiri Bakayoko apelekwe timu nyingine tuJorginho anajua sana, kante leo kakipiga namba ngap?
Mkuu kumbuka hatuko ligi tu ..kuna Europa, carabao, Fa na kuhakikisha msimu ujao tupo Uefa kwahiyo baka anaweza pata gemu zake apoKante leo kawa more attacking , Jorginho ndio alikuwa nyuma yake.. Nafikiri Bakayoko apelekwe timu nyingine tu