Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alonso kaiuza timu tangu December, Yaani Kocha hata hamshtukii jamaa mpaka aizamishe timu
 
Mkuu sion kama sarri ana tatizo ..me naona ni wachezaji tulio nao ..mf Alonso anapwaya sana, Uyu dgo alofunga goli la kwanza kamkimbiza sana ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe maji
 
Sioni beki wa kumzuia Mane au hata Firmino ..tukikutana mtufunge tu kama Everton..2:0

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya kucheza na Liverpool ipo tena sana, hawa wachezaji wanakosa kujituma, sijui wamelogwa au huyo mzee hana mbinu ya kuwapush ili wacheze vizuri kwa kujituma kama wenzao wa Everton waliporudi kipindi cha pili walibadilika
 
Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe maji

Pochettino nae ana mapungufu ya wazi wazi kama huyo Sarri anavyompenda Alonso

NASHINDWA KUMUELEWA POCHETTINO kwa Wachezaji kama Dele Alli kumuweka benchi Fernando Lorrente na Lucas Moura vile vile BenDavies kumuweka bench Danny Rose hapo ndio utajua kuwa makocha wengi huendekeza mapenzi kwa wachezaji fulani kwa sababu ambazo sio za kiuwezo bali mapenzi ya kocha kwa mchezaji
 
Alonso kaiuza timu tangu December, Yaani Kocha hata hamshtukii jamaa mpaka aizamishe timu
nimewa mack lembu na huyo chuga nikisema kocha mbovu nasmbiwa niwe natazama mpira

Yu wapi mkabaji drinkwater unatuletea jognho mtoto nysnyw anashindwa kugard beki hadi beki zinaonekana mbovu
 
Pochettino nae ana mapungufu ya wazi wazi kama huyo Sarri anavyompenda Alonso

NASHINDWA KUMUELEWA POCHETTINO kwa Wachezaji kama Dele Alli kumuweka benchi Fernando Lorrente na Lucas Moura vile vile BenDavies kumuweka bench Danny Rose hapo ndio utajua kuwa makocha wengi huendekeza mapenzi kwa wachezaji fulani kwa sababu ambazo sio za kiuwezo bali mapenzi ya kocha kwa mchezaji
MAJERUHI KIJANA POTECHINO HANA HUO UJINGA KUHUSU MOURA UCHOVU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom