Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Luiz ni ball playing CB anafit sana kwenye mfumo wa Sari ndio best CB anayefit kwenye huo mfumo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna viungo wazuri hatuhitaji beki wa kucheza na kusahau nyumba ikiungua. Ndio maana Conte alimweka benchi, Zama za Luiz zimeisha wanatakiwa vijana kama akina Andreas Christensen
 
Umekosea! Hiyo kauli Haimaanishi Kwamba Ndiyo Nishajihakikishia Kuwa Lazima Nitakufunga! Ni Kauli Ya Kukukatisha tamaa tu Kuwa Liverpool kumfunga Chelsea, Arsenal na Man City huwa haihitaji iwe na Timu nzuri, Hata Nikiwa na Wachezaji Wa Kuungaunga tu Basi ninawafunga.
Labda Manure ndiyo ili nimfunge ninahitaji Niwe na Timu nziri kwa Siku hile ya Mchezo.
Lakini wao brighton hawaitaji timu nzuri kuifunga Manure, hiyo ndio tofauti ya nyie na wao
 
Tuna viungo wazuri hatuhitaji beki wa kucheza na kusahau nyumba ikiungua. Ndio maana Conte alimweka benchi, Zama za Luiz zimeisha wanatakiwa vijana kama akina Andreas Christensen
Conte sio kocha wa Chelsea sasa,Mfumo wa Sari unahitaji CB anayecheza mpira sio wabutuaji na kwa mabeki mlio nao hakuna anayemfikia Luiz kwenye hilo.Chelsea now ina kocha mwenye mfumo tofauti ukilinganisha na Mourinho +Conte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Conte sio kocha wa Chelsea sasa,Mfumo wa Sari unahitaji CB anayecheza mpira sio wabutuaji na kwa mabeki mlio nao hakuna anayemfikia Luiz kwenye hilo.Chelsea now ina kocha mwenye mfumo tofauti ukilinganisha na Mourinho +Conte

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma takwimu luizi anaongoza kwa kupiga pass

E&K
 
Nimesoma takwimu luizi anaongoza kwa kupiga pass

E&K
Hata kama ana passi nyingi, hii sio kigezo. Pass ni position yake tu inashurutisha urudishiwe mipira mara kwa mara
Kigezo cha ubora wa beki ni kutoruhusu mashambulizi ya hovyo. Anyway kocha anaona na anajua zaidi yetu. Na hatua atakayoichukua ya kumuacha au kumshindanisha na Andreas ni yake
 
IMG-20180820-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni Kwa Kuongoza Ligi Kwa Masaa 20.
Mwenye Ligi Kampiga Mtu '6' ambaye nyinyi muliishia Kupata 3.
Kwahiyo Tayari ameshakamata Nafasi Yake.
Tuliobakia Tuishie Kusindikiza tu.
Nyie endeleeni Kujitangazia Ubingwa Wa Kusadikika.
Sasa uyo man city msimu huu atapata tabu sana kubeba kombe Mara mbili uingereza alifanya babu farge tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ana passi nyingi, hii sio kigezo. Pass ni position yake tu inashurutisha urudishiwe mipira mara kwa mara
Kigezo cha ubora wa beki ni kutoruhusu mashambulizi ya hovyo. Anyway kocha anaona na anajua zaidi yetu. Na hatua atakayoichukua ya kumuacha au kumshindanisha na Andreas ni yake
Lakini eneo lake ndivyo anavyopaswa kucheza na sio kubutua tu

E&K
 
Sasa uyo man city msimu huu atapata tabu sana kubeba kombe Mara mbili uingereza alifanya babu farge tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani sio Msimu huu tu! Hata msimu ujao Man City bado Yupo Katika Nafasi Ya Kutuburuza! Kwasasa Mpira Ni Pesa na Man City Pesa anatumia Kwa Usajili.

Sasa Labda Nikuulize! Unadhani Ni Timu gani msimuu inaweza Kusimama na Man City Kumzuia? Chelsea? Spurs? Manure? Liverpool? Au Nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom