Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli nimeamini wachezaji wa man u ni wakawaida kwenye mbio za EPL
Mwaka wa pili huu na mourinho wenu EPL mnaisikia tu
images(10).jpg
 
Kikosi changu against Arsenal leo.
-Kepa
-Azpilicueta
-Christensen
-Rudiger
-Alonso
-Jorginho
-Kante
-Barkley/Loftus
>Hazard(C)
>Giroud
>Pedro

Willian anaanza benchi ili Pedro awahishe ushindi, awakimbize kina Bellerin na Mustafi. Mnakionaje wakuu.?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unaa wewe bwana mdogo..hata kwenye uzi wetu pendwa wa UNITED huwa unakuja kutuletea nzi!!
Sasa kule nakujaga kuwachangamsha maana Mara nyngi huwa mnagombana wenywe kwa wenyewe.

Kwanini upate tabu wakati unalipenda jukwaa pendwa la Chelsea? Karib tu mkuu unakaribishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom