Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alfredo Pedulla | #Chelsea pulled OUT of Barella race and now will continue pursuing Paredes. #CFC

The club is saving a big budget for striker signing.

Paredes atakuwa Jorginho backup ila Barella anapiga namba zote kati kati pale. Tungemchukua Barella
 
Hapo Jua ni Wakala Wake tu Huyo ndiyo anayefanya proganda hizi kwenye Media ili Mchezaji Wake apewe Mkataba mpya au Chelsea wamnunuae.

Si unajua kwa lolote hapo yeye ana Percentage yake?
Hawa mawakala inabidi wawekewe sheria waanze kujiheshimu na kuheshimu kazi zao sasa. Siyo kila wakati wanafanya vitu kwa maslahi ya matumbo yao na wateja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mawakala inabidi wawekewe sheria waanze kujiheshimu na kuheshimu kazi zao sasa. Siyo kila wakati wanafanya vitu kwa maslahi ya matumbo yao na wateja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si unamkumbuka Wakala wa Maguire wa Lecister alipompigia debe mchezaji wake kwa Man United na kumfikisha £90m wakati bei Yake halisi ni £30m 😀😀😀

Na kipindi kile Mimi, Wewe na Real tunatafuta Kipa Raiola akampandisha bei kipa wa AC Milan Donnarumma kupitia Media na Kumfikisha £80 wakati bei Yake halisi alikuwa ni £15m 😀😀

Sasahivi mawakala wa Bundesliga nao wameshaamka yani ukifanya Masihara wanakupiga kavkav
 
Alfredo Pedulla | #Chelsea pulled OUT of Barella race and now will continue pursuing Paredes. #CFC

The club is saving a big budget for striker signing.

Paredes atakuwa Jorginho backup ila Barella anapiga namba zote kati kati pale. Tungemchukua Barella
Paredes 24yrs amekomaa tofauti na Barella 21yrs
 
January Transfer Updates
Incoming
  1. Christian Pulisic - Borussia Dortmund - £57.5m (loaned back until summer 2019)
Outgoing
  1. Kasey Palmer - Bristol City - Loan
  2. Lewis Baker - Reading - Loan
 
Chelsea chini ya Sarri inacheza mchezo unaofanana na Man city chini ya Pep, lakini ingekuwa ni Chelsea wanacheza dhidi ya Burton matokeo guess yangekuwa 1-0 au 2-1. Hapo ndio unajua tunahitaji washambuliaji na wachezaji ambao wana njaa na shauku ya kufunga tu bila kukoma
Mancity vs Burton.jpg
 
View attachment 990786

Ukweli ni Kwamba PEP hazarau Kombe wala mechi yoyote ndiyomana hata hao Championship kawapangia Steeling, Sane, Mahrez, KDB, Jesus, Gandogun, Walker.

Ndiyomana ninasema PEP is a best Coach ever kuwahi kushuhudiwa katika hii sayari! Tofauti na yule Mvaa miwani wetu Mjomba wake Malafyale ambaye anacheza na timu kama Wolves halafu anawapangia kina Sturridge, Origi, Moreno, Mignolet, Hoever, Jones na Camacho.

Another trophyless year
 
Players below are on Chelsea Radar in January 2019 window:
1) Gonzalo Higuaín 31yrs- striker -still a target
2) Mauro Icardi 25yrs- striker
3) Marko Arnautovic 29yrs- striker
4) Krzysztof Piatek 23yrs- striker
5) Denis Suarez 25yrs CMF
6) Jamie Vardy 32yrs- striker
7) Callum Wilson 26yrs - striker
8) Nicolò Barella -21yrs - MF
9) Leandro Paredes - 24yrs - MF
 
Between Huguain, Wilson and Pareses two will be signed at Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.

Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
Kuna watu mnapenda kujifariji.

I swear to you...Liverpool ikimaliza huu msimu juu yetu kwa njia yoyote utakayoamua..nitakupatia Laki tano kamili.

Sihitaji chochote kwako..ni imani niliyonayo juu ya hii klabu aisee.
Kuna pesa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom