Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
shoq
Nakubaliana na wewe ina maana man u ana show za kikubwa kuliko arsenal na liver ? Unajisahauliaha alivyowafanyaWe jamaa unazingua kwenye ligi mpka sasa unamlinganisha messi na huyo jamaa kwa kipi acha unazi mkuu.Form ya messi kabla ya kuumia mkono siyo ya kitoto man.
Alaf huyo aliyewekwa mfukon na young huwa hawezi shoo za kikubwa huwa anajua kudrible kwa vitoto tu.
