Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wewe tulia. Hili kombe halikuhusu. Subiri epl na Ucl. Hili tuachie na man city na Spurs
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vibaya kuachiwa kusindikiza
Wewe tulia. Hili kombe halikuhusu. Subiri epl na Ucl. Hili tuachie na man city na Spurs
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna fans humu wanamshabikia sana huyu dogo, na wanataka apewe nafasi sawa na akina Luiz, my words, wakipewa nafasi watakuwa wachezaji wazuri baadaye ila watatucost sana
Tuseme tu hii ni sheria ya kwako na sio ya FIFANawakumbusha tu offside ni had mtu azidi mwili mzima Kama ilivyo goli mpira wote kuvuka mstari [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme tu hii ni sheria ya kwako na sio ya FIFA
Argument iliyoko ni kwamba camera Chelsea waliotumia ilichukuliwa baada ya tukio na sio wakati wa tukio. Kwa maana hiyo Kane alionekana offside kwenye kamera za chalsea kwa sababu walichukua snapshot baada ya mpira kuchezwa.
Offside kwa sheria za FIFA ni pale sehemu yeyote ya mwili inapozidi mstari wa offside iwe sehemu ya juu, kati au chini ya mwili
Higuain to Chelsea not as advanced as suggested. Few road blocks to overcome. He’s Sarri’s choice.
Club still looking at a number of other options including Silva, Cavani, Benzema, Wilson, Vardy, and they’ve had an enquiry for Arnautovic knocked back.
Tuseme tu hii ni sheria ya kwako na sio ya FIFA
Argument iliyoko ni kwamba camera Chelsea waliotumia ilichukuliwa baada ya tukio na sio wakati wa tukio. Kwa maana hiyo Kane alionekana offside kwenye kamera za chalsea kwa sababu walichukua snapshot baada ya mpira kuchezwa.
Offside kwa sheria za FIFA ni pale sehemu yeyote ya mwili inapozidi mstari wa offside iwe sehemu ya juu, kati au chini ya mwili
Asante King kwa ufafanuzi, nilichukulia mwili mzima kwa ku overlook mikono. Hata goalkeeper akizidi sio offside, haa haa kwa sababu hawezi acha goli lake akashambuliaHapo umesema uongo!
Mikoni hata ikizidi haimo katika Sheria ya Offside na haitohesabiwa Offside.
Ukitoa Mikono, Basi sehemu nyengine yoyote ya mwili ikizidi ni Offside.
Lembu. Mimi Ni shabiki wa Chelsea damu yangu ina rangi ya blue.Wee Ryana ni shabiki wa upande gani?
Tuwape tu turudishe nusu hasaraSevilla have made Chelsea an offer worth £5m to loan Morata with another £35m to be paid in the off-season.
See their profiles
----------------------------------------------------
----------------------------------------------------
- Name: Higuain,
- Age: 31yrs,
- Average of Goals/season: 20
----------------------------------------------------
- Name: Icardi,
- Age: 25yrs,
- Average of Goals/season: 25
Both are
----------------------------------------------------
- Country: Argentina,
- Position: Striker,
- Started in Serie A since 2014/15
Who to sign?
Harry wilson au????Yaani hapa labda cavani na wilson other wise kuliko hao wengine ni bora tukamuamini Tammy Abraham Ayufanyie kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuchukue wote.See their profiles
----------------------------------------------------
----------------------------------------------------
- Name: Higuain,
- Age: 31yrs,
- Average of Goals/season: 20
----------------------------------------------------
- Name: Icardi,
- Age: 25yrs,
- Average of Goals/season: 25
Both are
----------------------------------------------------
- Country: Argentina,
- Position: Striker,
- Started in Serie A since 2014/15
Who to sign?
Wilsson huyu wa Derby?