Mwambie kepa leo amefanya clean sheet yake ya 5Kuna mtu alisema kipa bei ghali duniani anafungwa...
Alinyosha mguu mpaka msuli ukakaza na bado akashindwa kuzuia goli la Willian.
hatari sana leo baklay na wilian walinipigia magoli ya nnje ya kumi na nane safi kabisaHongera naona mmeshinda burnleyKILA LA KHERI TIMU YANGU PENDWA YA BURNLEY
Nadhani umeona manufaa ya nilichosemaMkuu Acha utani hata kama hazard hatakuwemo hawezi kucheza Loftus cheek
Sarri ana kikosi chake cha europa league na cha league kuu England kama unamfatilia vizuri
Kule mbele leo kama hazard hatakuwepo ni Pedro Morata na willian
Tatizo wanajifanya hawajui hii team kwa mpira inaopiga hivi sasa hata akikosekana hazard ushindi utakuwepo tuWalisema bila Hazard Eden hatushindi.
Baklay ana udhaifu wake hajui kuzuia kwa hiyo match kubwa na ngumu itamuhitaji bado kovacicKovacic ajiangalie anaweza kupoteza namba sasa hivi. Sarri ameanza kumuona Barkley ni complete. Kovacic inapokuja suala la defensive yupo vizuri zaid kama tunacheza na team ngumu
Mi naona bora Navas angekaa golini wasingepigwa zote hizo na BarcelonaKabugizwa 5 ataikumbuka Chelsea na EPL kwa ujumla
Kajitahidi mkuu dogo amechukua nafasi ya Pedro akaitendea hakiNadhani umeona manufaa ya nilichosema
Tatizo wanajifanya hawajui hii team kwa mpira inaopiga hivi sasa hata akikosekana hazard ushindi utakuwepo tu View attachment 914688
Lakini sub ya Dembele ndio iliyommaliza kabisa na ubovu wa defence ikiliongozwa na RamosMi naona bora Navas angekaa golini wasingepigwa zote hizo na Barcelona
Thibaut courtois bado kukaa bench tu na hilo litatimia akija kocha mpya pale real Madrid
Itakuwa shangwe sana
Unachokisahau ni kwamba Madrid ilitengenezwa kupitia Ronaldo Ndio maana wanataabika pia team imechoka hiyoNyie muna mbwembwe kweli! Madrid walipokuwa Wanashinda Walisema Kama hivi kuwa Kaondoka Ronaldo na Zidane na timu inashinda.. Lakini Nadhani sasahivi Table yao inaongea Kule ...
Na sidhani kuwa Mshabiki Wa Mpira anaweza kusema Bila ya Hazard timu haiwezi Kushinda....
Bali mtu kama Mimi naweza kusema bila ya Hazard kuna zile Mechi ambazo Ni Tough game zinazohitaji Skills binafsi ya Mchezaji kukupa ushindi from nowhere Ni Vigumu timu kushinda Mechi kama hizo.
Hii si kwa Chelsea Bali kwa timu nyingi zinakuwa na tabia kama hii.
So, Bila ya Hazard timu inaouwezo Wa kushinda lakini kuna Mechi ili ushinde Ni lazima umuhitaji Hazard.
Angalia mfano Wa Mechi zote Mbili ulizocheza na Liverpool zinaweza kukusaidia kukupa jibu.
Lakini Mechi vs Burnley, BHA, Huddersfield, Cardiff, Fulham and the likes huhitaji Hazard kuweza Kuwawajibisha.
Hongereni kwa ushindi wakubwa, mnatisha.
Mpaka sasa naona kabisa namba 3 ni ya kwenu nyuma ya Man City na Liverpool.
eti ya tatu sisi tunawaza ubingwa mkuu sio kama Liverpool inawaza kupata nafasi ya uefa tu![]()
![]()
eti ya tatu sisi tunawaza ubingwa mkuu sio kama Liverpool inawaza kupata nafasi ya uefa tu
Sarri anazinguaga hapo tu.Hiyo ya tatu yenyewe mnagombea na Arsenal na Tottenham.