hakuna nafuu yoyote hata huyo Batshuayi hana cha kuprove ashacheza mechi nyingi na sijaona cha maana kutoka kwakebora arudi huyu kuliko kuchukua wale kina higuan
Summer tujiandae kumchukua huyo Mauro Icadi
Hii kitu haiwezekani mkuu. Hakuna kitu kama ichoJamani nimeona tetesi Barca wamekuja na 50 m+ Malcolm kumchukua Willian kama ni kweli ikiachwa dili kama hili ntashangazwa kwa Mara ya pili