Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuko pa1 sana kwa mtizamo huo Chifu.

Asepe tu na misigara yake kwani ukitoa Real Madrid, Chelsea ni klabu ya pili duniani ktk kufanya maamuzi magumu ya kutimua makocha, na ndicho kinachotaka kumpata Sari si muda mrefu.
Ukiwa na mataila jaya lazima ufumgwe

Taila mkuu

JOGNHO CHANZO CHA PENALTY
BARKLEY CHANZO CHA KUTOKUKABA
WILLIAN UCHOYO

YOTE TISA KUMI NI TAILA INAYOOJIITA JOGNHO
MBIO HAIN PASI HORIZONTAL UTAFIKILI HAONI LANGO
FOOLISH SARI

AKISEPA NITAENJOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pa1 sana kwa mtizamo huo Chifu.

Asepe tu na misigara yake kwani ukitoa Real Madrid, Chelsea ni klabu ya pili duniani ktk kufanya maamuzi magumu ya kutimua makocha, na ndicho kinachotaka kumpata Sari si muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana una jazba sana. Nipe sababu kubwa inayokufanya umchukie Sarri. Kwa sababu mimi bado sioni sababu ya yeye kuondoka kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea will be a very dangerous team going forward IF we:

- Buy a top quality striker
- Play Hazard and Hudson-Odoi on the wings
- Replace Barkley with Loftus-Cheek (another attacking option)


It’s not rocket science. We’re close. #TOTCHE
pumba, umepuyanga vibaya sana
 
Mimi mpaka sasa sijaona tatizo la kocha hapo... Tatizo la ushambuliaji likianza tangu msimu uliopita tuliporuhusu Costa kuondoka na hili ni kosa la management, Management hiyo hiyo ikachelewa kuajiri kocha mpaka siku za mwisho za dirisha la usajili Sarri angetoa wapi Mshambuliaji world class wakati huo,
Pia si rahisi kupata mshambuliaji January hilo linafahamika

Pia sioni tatizo la Joginho, kazi yake ni kuchezesha timu na timu inacheza. Tatizo liko mbele Willian yuko hovyo mchoyo na mipira mbele inafika washambuliaji hawafungi jorginho afanye nn, makosa madogo hayakosekani kwa mchezaji

Purlisic ni backup ya willian ambaye nina hakika msimu ujao hatutakuwa nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ng'olo Kante kwakweli amebadilika sana kiuchezaji kw mtu ambae kaanza kumuangalia Kante msimu huu tu ukimwambia ni DM hawezi kukubali kwa haraka kuwa ndio mkata umeme anashambulia namna ile kwanza sasa hivi ameimprove sana kwenye attacking.

Hata shot zake nyingi siku hizi ni shots on target tofauti hata na Barkley ambae tulitegemea atatusaidia zaid kwenye attacking na kuingilia maajukumu ya Jorginho kupiga pasi wakati yeye anatumika kama Box to Box midfielder inabidi aonekane zaid kwenye mashambulizi lakini ndio amekuwa anapoteza mipira ovyo ana disposes mara nyingi akiwa na mpira akipiga shot basi ni mnazi.

Loftus-Cheek hata kama hawezi kukaba vizuri ila anatumia mwili wake vizuri na anashambulia inavyotakiwa na kuanzisha mashambulizi ya haraka na kushtukiza (Counter Attack)
 
Jana tumecheza vizuri sana tofauti na game ya kwanza ya league vs Spurs ila kuna matatizo ambayo bado yanaonekana na kila siku yanazungumzwa yani in short hatuna striker CF ambae ni target man wetu ktk kila game.

Willian na Hazard wakianza pamoja na Morata usitegemee Morata atapewa pasi za kufunga sababu wameshakuwa na imani kuwa tukimpa atakosa au atapoteza nafasi wanaona bora waache kumpa au wanampa pass tayari yupo Offside hawampi passi kwa wakati ila huyu Hudson-Odoi akicheza na foward yoyote yule anamsaidia kumchezesha striker wake.

Kwahiyo tukipata striker mzuri pale mbele mimi naiman tunaweza hata kucompete ktk mbio za ubingwa maana muda bado na kwa sasa ni mapema sana kukata tamaa za ubingwa kama tutapata target man pale mbele w kusaidiana majukumu na Hazard.


Kama jana Hazard kaondoka MoTM lakini tumefungwa sisi na mchezaji wetu ndio nyota wa mchezo hii haipo sawa hata kama maamuzi ya Refa yalituangusha ila tulikuwa na uwezo wa kudraw au kushinda kabisa maana sioni kama kuna sehem tulizidiwa ktk mechi ya jana wachezaji wote walionyesha kujituma halikadhalika mabeki wa kati Christensen na Rüdiger tulicheza vizur ila tatizo letu ni lile lile la kukosa mfungaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom