Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ujio wa Higuain unaweza kutusaidia kiasi fulan hivi kutokana hakuna striker wetu ambae anauwezo wa juu kumzidi Pipita ila wasi wasi wangu ni juu ya ule mwili jamaa nauzito mkubwa kwa mchezaji mpira ni tatizo pia.
 
Watu wanaona ni heri aje Edson Cavani nawe unapendekeza tena watuletee limzigo lingine liwe sawa na Giroud na Morata pale Stamford Bridge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana tumecheza vizuri sana tofauti na game ya kwanza ya league vs Spurs ila kuna matatizo ambayo bado yanaonekana na kila siku yanazungumzwa yani in short hatuna striker CF ambae ni target man wetu ktk kila game.

Willian na Hazard wakianza pamoja na Morata usitegemee Morata atapewa pasi za kufunga sababu wameshakuwa na imani kuwa tukimpa atakosa au atapoteza nafasi wanaona bora waache kumpa au wanampa pass tayari yupo Offside hawampi passi kwa wakati ila huyu Hudson-Odoi akicheza na foward yoyote yule anamsaidia kumchezesha striker wake.

Kwahiyo tukipata striker mzuri pale mbele mimi naiman tunaweza hata kucompete ktk mbio za ubingwa maana muda bado na kwa sasa ni mapema sana kukata tamaa za ubingwa kama tutapata target man pale mbele w kusaidiana majukumu na Hazard.

Kama jana Hazard kaondoka MoTM lakini tumefungwa sisi na mchezaji wetu ndio nyota wa mchezo hii haipo sawa hata kama maamuzi ya Refa yalituangusha ila tulikuwa na uwezo wa kudraw au kushinda kabisa maana sioni kama kuna sehem tulizidiwa ktk mechi ya jana wachezaji wote walionyesha kujituma halikadhalika mabeki wa kati Christensen na Rüdiger tulicheza vizur ila tatizo letu ni lile lile la kukosa mfungaji.
Ni kweli mkuu. Light tungekuwa na striker mfano wa aguero ama cavan ama icardi. Wapinzani wangekuwa wanatuchungulia kwenye kwenye kiooo tu. Wakisema kimoyo moyo Chelsea waleeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo la Chelsea ni strikers ndo hatuna.

Sasa kwa timu kma Man united wenye front inayoenda vizuri ( rashford, lingard..) na kwa hii Sarriball angeshinda ci chin ya goli tatu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Spurs ya msimu huu sio timu ya kuipiga goli tatu, Man U na Strikers wake nina uhakika wamepiga sana mpira na siku ni yao labda kushinda 2-0

Kwa nini nasema hivyo, Spurs ni timu ambayo ina Beki wazuri sana ambao kwa Counter huwa ni ngumu kuwafunga labda kwa setpieces na jamaa hawa wakiwa nyuma huwafungi kiboyaboya

Cheki Beki hizi pale Spurs ; Davinson Sanchez, Kieran Tripper, Danny Rose, Jan Vertongen , Juan Foyth (Ingawa dogo huyu anafanyaga makosa ila ni katika beki wenye uwezo mkubwa sana wa kupoka mipira pale EPL)
 
BREAKING- Higuain has given the green light to join Chelsea (MARCA) #CFC
Milan appear to have already decided they will not sign Higuaín permanently at the end of the season and they're even willing to cut ties with him this month, while Chelsea manager Sarri wants a reunion in west London before the second half of the season gets underway.

Marca claims that Chelsea have already reached out to Higuaín over the move and the striker has accepted the club's terms. The move is expected to open the door for Álvaro Morata to leave the club this month.

Higuaín's season-long loan spell in Milan has to be cut short by his parent club Juventus before a deal to Chelsea can go through, although there aren't expected to be any hitches which could hold the deal back once it's given the green light.

Higuaín first worked with Chelsea manager Sarri when they were both on the books at Napoli, the striker's first club since leaving Real Madrid in 2013. He scored 36 goals under the Italian head coach before being shipped out to Juventus for €90m.

process

Despite having a trophy-laden few years in Turin, Higuaín hasn't been able to replicate the same form which saw him become a household name in Italy and the forward hopes that a change of scenery will kick-start his career once again.
 
1547027699224.png

Gambling, anaweza kuwa mzuri kwa maana ya kuendana na mfumo wa Sarri na ndio maana Sarri anampenda au akawa amekwisha chuja tayari kwa sababu ya uzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom