Jukwaa limekimbiwa... Yani nyie jamaa bado nawamind kwa kupostpone mechi yetu.
![]()
Ataogopaje wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...
khe khe kheeeeee
Wacha washabiki wa Mafioso team - Chelsick waendelee kuchungulia tu pengine wanaweza kumaliza matanga, ... ... ... mechi yao ya mwisho kushinda khe khe ilikuwa na hiki kitimu mnakijua? .... kinatoka Slovakia kinaitwa MSK Zilina khe khe kheeeeeeeeee
Hivi walicheza nao lini? ... .... ..
No ifs or buts, we deserve the spanking!
Duuuuh I will back! Siamini nilichoona leo
Lucas Leiva na Ramires sidhani kama ni wabrazili hawaHe is BRAZILIAN.............
Mbu, kuna vile vimechi vidogo komaeni navyo, maana baada ya hii mechi ya jana mngekuwa 6 points above the league leaders. Unapotaka ubingwa unatakiwa kushinda kila mechi na hapo utaona hata Mou anakaa kimya.![]()
...'Bundi albino' kafungua ofisi Darajani,... yaani ni misiba mfululizo, duhhh!!!
daraja linasambaratika - inasikitisha sana - tumezidiwa - hali ni mbaya.
CARLO ANCELOTTI'S Chelsea future looked bleaker than ever last night. His Blues were torn to shreds by Arsenal and have now picked up just six points from their last eight league games. Only Fulham have a worse record over the same period and Roman Abramovich's patience may now be close to breaking point.
Hivi mechi ya j'tano wanacheza na vibonde gani kweli?BTW tutakutana tena kwenye EPL msimu ujao .... .... tunawasubiri vikongwe wengie watinge Emirates tuwape dawa
Hivi mechi ya j'tano wanacheza na vibonde gani kweli?