Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

...Napenda kutuma salaamu kwa Peasant, Masanilo, Ab-Titchaz, Aljuniortz, Sanda Matuta, kaka Invisible na wengine wote wanaonifahamu
Ujumbe ni "Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia"

brandao_1781485c.jpg
GETTY IMAGES

...Naomba salamu zangu zisindikizwe na kibao cha Chege na Mh Tembe ft Nahu - Mkono mmoja weka juu!
Ahsante. 😛ray2:
 
Mjukuu anasubiriwa pale White Hart Lane nani atazaa? ... ....

khe khee kheeee kheeeeeeeeeeeee au wakati bado ....
 
...Napenda kutuma salaamu kwa Peasant, Masanilo, Ab-Titchaz, Aljuniortz, Sanda Matuta, kaka Invisible na wengine wote wanaonifahamu
Ujumbe ni "Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia"

...Naomba salamu zangu zisindikizwe na kibao cha Chege na Mh Tembe ft Nahu - Mkono mmoja weka juu!
Ahsante. 😛ray2:

OK, tukutane tarehe 27, usikimbie kama kawaida yako unakuja baada ya mechi unazoshinda tu!!
 
Kwakweli wakuu wanasema hospitali ni mtakuja na mgonjwa yake wodi

Karibuni yakhe, sie tumeshaanza hata kutoka kidogo na mashuka ya hospitali, tunanyoosha miguu na kununua soda wenyewe; lakini naona sijui mmepata degedege maana homa yenu hata haishuki ati, sindano zote hizo hata hamgeuki... dah

Yangu macho tu, maskio nawaachia asenali na manure
 
article-1337060-0C683DA8000005DC-431_468x423.jpg

Crocked: Defender Bosingwa (left) suffered

a hamstring injury against Marseille

article-1336980-0C68404B000005DC-987_634x428.jpg

Down and out .... the time Brazilian striker Brandao put Chelsea to the sword

article-1336885-0C682AB0000005DC-412_634x517.jpg

Hush! Brandao celebrates his late goal against Chelsea

Ka- inzi kameleta habari kwamba Mungiki brother ameamua kurudi Kibera japo kwa muda maana moto wa hapa kwenye jukwaa la Mafioso unaendelea kuwaka na Wafaransa wameongeza mafuta chacha chijui kama Totts wana viberiti vya kutosha ili kuweza kuwasha kila kona ..... OOops na yule rais Mwizi ambaye anashabikia Toots according to Inzi ..... amejiandaa kusheherekea ushindi chacha chwali moja tu kiduchu hivi Invisible si unaweza kumwazima Ka-Teachers kutoka India kidogo ili aache kumsumbua Sheikh Yahaya?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW hivi degedege limewakumba hata wanazi wa Chelsick? Rev Kishoka njoo okoa jahazi ..... ...
 
OK, tukutane tarehe 27, usikimbie kama kawaida yako unakuja baada ya mechi unazoshinda tu!!

...aaaaaarrghhh, Peasant sasa unanionea. Anyway, hunisomi kwakuwa sibandiki mfululizo kama zamani.
Nimebadili mwendo kidogo. Tarehe 27 ee? haya kaka :thumb:
 
Yeah, 27. Natarajia utakuwa na guts za kuwepo live, au angalau kutokea hata kama umefungwa.
 
sport_splash2_1181798a.jpg

Ataogopaje wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...

khe khe kheeeeee

Wacha washabiki wa Mafioso team - Chelsick waendelee kuchungulia tu pengine wanaweza kumaliza matanga, ... ... ... mechi yao ya mwisho kushinda khe khe ilikuwa na hiki kitimu mnakijua? .... kinatoka Slovakia kinaitwa MSK Zilina khe khe kheeeeeeeeee

Hivi walicheza nao lini? ... .... ..
 
sport_splash2_1181798a.jpg

Ataogopage wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...

One word, DELUSION. Enjoy that top spot til Saturday. Tunajua hizi kelele zote ni kwa sababu hujazoea kuona Fat Arse ikiwa juu ya ligi, na wivu wa kiwango cha juu sana ulionao dhidi ya The Blues! Hicho kiti ni cha blue, Arsenil are just keeping it warm with their FAT ARSES for us.
 
Yeah, 27. Natarajia utakuwa na guts za kuwepo live, au angalau kutokea hata kama umefungwa.

...tutawafunga na chenga tutawala kama kawaida! :whoo:

Last edited by a moderator:

Acheni Lote ... .. the devil is behind you ....

Chelsick JT: Don't write us off .... ... we aren't finished like Loser Fools ...... kwi kwi kwi .... snuff snuff ...
 
Naona na wewe taratibu unaanza kuwa WUM kama yule mwenzio Wacha, mbona huweki video za Drogba akiwafanya kitu mbaya?!!
 
Wind-Up-Merchant?...
We vipi bana, nikiweka za 'Droo-ya-Bar' si nitakuwa najikera mwenyewe?
 
Acheni Lote ... .. the devil is behind you ....

Chelsick JT: Don't write us off .... ... we aren't finished like Loser Fools ...... kwi kwi kwi .... snuff snuff ...

...ha ha ha!,
images
Abramo-Genie-in the bottle!
 
sport_splash2_1181798a.jpg

Ataogopage wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...
khe khe kheeeeee
Wacha washabiki wa Mafioso team - Chelsick waendelee kuchungulia tu pengine wanaweza kumaliza matanga, ... ... ... mechi yao ya mwisho kushinda khe khe ilikuwa na hiki kitimu mnakijua? .... kinatoka Slovakia kinaitwa MSK Zilina khe khe kheeeeeeeeee

Hivi walicheza nao lini? ... .... ..

...ha ha ha, umeona ee?...Acheni-Lotte anaua soo!
 
...ha ha ha!,
images
Abramo-Genie-in the bottle!

Khe khe khe na leo hapa marufuku wasiingie kabisa .... ...labda kesho watoe draw ..... Mwezi mzima sasa umepita wanachungulia tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Jamani eheeeeeeeeee Matanga mnamaliza lini?

Invisible if you can convey my condolences to Mungiki Brother, I presume he might have moved from Kibera to an unknown location fearing the worse. A month without his sight in the house of mafioso is not normal. Also without forgetting the Peasants who surround the broken bridge and the reverands (Masanilo & Kishoka) who've surrounded the bridge with homily players.

Please let Abraham O Vich not miss his timely appointment to deliver the inevitable (mpunga radhina) otherwise the matanga will not end as planned and cause dire consequencies to the Roman empire.

Khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Matanga bila ya wasi wasi yanaisha leo; yatahamia rasmi kwenu kuanzia kesho
 
Wenyewe wamerudiiiii, haya mlikuwa wapi siku hizi zote?. Msipotee tena mmesikia, mchezo ni kushinda na kushindwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom