Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui kwanini wachezaji wetu wamepotezamipira kiasi hicho, yaani hata body language yao inaonyesha kama hawako uwanjani vile. Nasuburi hizo kelele za fat Arses hapa jukwaani sasa.
 
Duuh! Leo tumecheza hovyo sana. Hongera zenu Arsenil, you deserve the win.

U dont sound OK Peasant, Anything I can do to help u???? January is a Transfer window for both players and Supporters, Cant u consider this as an Ideal solution to ur Problems???? Just Imagine, 8 games = 6 points. For how long will u keep suffering while u exactly know where the Happiness Belong????? U r warmly welcome as a GOONER FUN, from 1st of JAN. U will be happy there....TRUST ME....
 
my simple defn ya KELELE " Ni sauti zisizo na Mpangilio na zisizohitajika" Unatujua vizuri, Hatuna Kelele. Ni ukweli tu, Ila kama hupendi kusikia maneno yetu zitakua KELELE.... FOOTBALL INA RAHA YAKE NDG YANGU PEASANT....
 
Hahahahaha! My friend, I will die a Blue....I naturally hate red colour. BTW, we're in kinda of trouble, I didn't like the body language of some Chelsea players, they look like a batch of uninterested tourists!!!!
 
Don't take it seriously, just a joke....na kwa kuwa kelele ni SAUTI kwa hiyo siwezi kuzisikia hapa jamvini, ni neno tu nimetumia kwamba nasubiri post nyingi za utani na kejeli kutoka Arsenal....I hope umenipata sasa.
 
Kwa sababu umenigongea Thanx hapo Juu then nakubaliana nawe hutaki kusoma wana GOONERS tunachoandika, but simple qn....What is the Next Move???? Mnamtimua CA au January mtapambana na Man City Sokoni?????
 
I understood u man.......Its a kind a conversation i always Like....on wins and Loose................
 
Baada ya kumuona huyu Ramires kwene mechi nyingi na za kutosha sijaona hasa what was so special about him TBH.
 
Duuh! Leo tumecheza hovyo sana. Hongera zenu Arsenil, you deserve the win.

Poleni kwa kipigo cha mbwa mwizi

Ingekuwa bongo mngeeanza kutafuta mchawi aliyesababisha gori mbili za mwisho
 
Don't take it seriously, just a joke....na kwa kuwa kelele ni SAUTI kwa hiyo siwezi kuzisikia hapa jamvini, ni neno tu nimetumia kwamba nasubiri post nyingi za utani na kejeli kutoka Arsenal....I hope umenipata sasa.

Pole kwa kipigo cha mbwa mwizi

Nasikia Drogba hakuwa fit kwa sababu nyumba ya ankal wake imepigwa mabomu kule kwao

Hata Kalou nae nasikia mtaani kwao wanashindwa hata kutoka kwenda kununua chumvi poleni sana bana
 
Poleni kwa kipigo cha mbwa mwizi

Ingekuwa bongo mngeeanza kutafuta mchawi aliyesababisha gori mbili za mwisho

Wala utakiwi kutafuta mchawi, maana mabaso mawili ya mwisho ni uzembe wa wazi kabisa, jamaa wamepoteza mipira kizembe sana.
 
Kwa sababu umenigongea Thanx hapo Juu then nakubaliana nawe hutaki kusoma wana GOONERS tunachoandika, but simple qn....What is the Next Move???? Mnamtimua CA au January mtapambana na Man City Sokoni?????

Chance kubwa ni kununua mchezaji mmoja/wawili, kama umeangalia bench letu leo ndio utajua kwamba kikosi ni kdogo sana. Lakini tatizo kubwa nafikiri si kikosi tu, inaonekana wachezaji hawana confidence baada ya matokeo mabovu mfululizo.
 
Hodi hodi wenyewe mpo ... .... namtafuta Masanilo ambaye amekuwa Invisible baada ya huu mkung'uto arudishe gunia langu alilobebea Magoli. Mungiki brother nimesikia kilio chake kutoka Kibera anasema flying toilets zimemshinda ushujaa anataka kurejea wakati Peasant's hawana chakula kutokana na uvivu wao ..

Khe khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Wala utakiwi kutafuta mchawi, maana mabaso mawili ya mwisho ni uzembe wa wazi kabisa, jamaa wamepoteza mipira kizembe sana.

Ukisikia kosa moja viboko 100 ndo hiyo sasa hivi Anelka aka Mapung'o anaumwa? huyu angewaokoa hawa wa Ivory walikuwa wanawaza vita uwanjani
 
Chance kubwa ni kununua mchezaji mmoja/wawili, kama umeangalia bench letu leo ndio utajua kwamba kikosi ni kdogo sana. Lakini tatizo kubwa nafikiri si kikosi tu, inaonekana wachezaji hawana confidence baada ya matokeo mabovu mfululizo.

Yah.....This will make a competition Better. lets see what Abrahimovich will do......
 
Ukisikia kosa moja viboko 100 ndo hiyo sasa hivi Anelka aka Mapung'o anaumwa? huyu angewaokoa hawa wa Ivory walikuwa wanawaza vita uwanjani

Unamaanisha suala la wao kuwa na marais wawili limewaathiri hawa Jamaa??? Essien Je?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom